Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio halisi, na kusema ukweli sio udhalilishajiJapo sipendi tabia ya wanawake kuwa kimaslai ila Bandiko lako linadhalilisha wanawake tena wanawake wote nazani umenielewa
Usiusemee moyo..we mwenyewe huyo ulienae angekua hana pesa usingemkubaliNot only pesa. Na moyo ukukubali.
Moyo ukikataa, wewe na hela zako mtachacha.
Mkuu demu WA kumpa hela hapo hapo anakupa ku_ma huyo ni Malaya hata Kama ni milion ,Unakula na kusepa mzee kwa nini uweke kambi wakati yupo kipesa.
Pesa kwenu ni kila kitu mkuu acha kuzuga hapa nyuma ya keyboardWanadhan hela ni kila kitu
Mimi nimeandika asilimia 90% ya wanawake wote, sio 100% mzee hivyo 10% ni walio staarabika na hawahadaiki.Japo sipendi tabia ya wanawake kuwa kimaslai ila Bandiko lako linadhalilisha wanawake tena wanawake wote nazani umenielewa
Sawa tuma na ya mashem shem😁😁Ngoja nitume na ya kutolea.😁😁😄