Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Ila kuzagamuliwa na mtu humpendi eti kisa pesa aaaah, mie mbna siweziiii naona km uhaini wa nafsi yangu

Mtu umpendee na umkubalii, kuna feelings fulaan zinakujaa aaaaah, woiiiiiiiih

Ila pesa tamu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sizitaki mbichi hizi afu wewe hakuna mwanaume mbaya aliye na pesa maana pesa yatakatisha kila aliye nayo.
 
Pesa Sabuni ya Roho, Mtu mwenye pesa andika sio Mwenzio. Aliimba Rich One.

Mwanaume Ukiwa na Pesa na una familia Hata ukijieleza unaeleweka na unaonekana ni singoboi kabisa na Unapewa unachotaka.

Kosa Pesa hata Kwenye Ukoo hushirikishwi unapewa tu taarifa na ukihudhuria vikao wanakuletea kinywaji mirinda nyeusi hata bila kukuuliza utakunywa nini.
 
Mtu mwenye pesa atakuwa na marafiki,

Mwenye pesa sio mwenzako.
Atapata kila kitu isipokuwa Amani.
Atajulikana kila mahali isipokuwa mbinguni.
Atarithi kila kitu isipo kuwa uzima wa milele.
 
Back
Top Bottom