Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Anatafuta kuwa highest reaction score Member amkimbize Numbisa na Shimba ya Buyenze.... ndio adhima yake. Wenzie wanamchango wa maana ye anajinadi kwa ujinga ...kweli vipaji ni vingi. Ana force umaarufu.🤣
Jamaa anataka kuwa matawi ya juu kama east zuu ni mshamba.
 
Sisi tunajua pesa ndiyo kila kitu ili tule mbususu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jiulize kwan nini mtu ni smart na msafi ananyimwa mbususu ila jamaa wa kolomije from interior anapewa mbususu kisa burungutu.
Hapa pana ukakasi kidogo. Sio kwamba wanawake ni very cheap kiasi kwamba wamkubali yeyote hata kama mchafumchafu kisa pesa. Wako very selective. Labda malaya wanaojiuza hao ndio wanakula kichwa chochote kinachokuja mbele yao ilimradi mkwanja upo. Ingawa na wao kuna sehemu hawaendi hata kama mpunga upo
 
Selection yao kumbe iko hivo, aisee pia nadhani mwanaume mwenye burungutu hata milioni 200 akiwa amejiweka hovyo huwa mademu wachache tena wachafu wenzake ndiyo humpaparikia.

Hii kitu uliyosema nimeiona kwa wenye fedha na wanapata ugumu kula mbususu kama vile hawana kitu kabisa.
 
Money is not everything mkuu. Kumbuka hata wao wanatamani kuwa na mtu ambaye licha ya kuwa na pesa atakuwa huru kumtambulisha kwa rafiki zake vinginevyo utaishia kumla mafichoni. Ukimuita sehemu ya wazi mkae mpate chakula anatoa udhuru ila room kwa hotel anakuja kwa kuwa anajua atakunja mkwanja atakupa unachotaka atasepa.

Kuwa na pesa and be smart
 
Nafikiri kama wewe, siku zote for a man must be smart kila kona appearance na maongezi pia na ustaarabu mwingine.
 
Kumbe unaelewa.

Sasa huko juu ulitaka kubisha nini? Anaweza kuwa na hela ila mvutoless. Anachomolewa nje vizuri kabisa.
 
Money is not everything mkuu. Kumbuka hata wao wanatamani kuwa na mtu ambaye licha ya kuwa na pesa atakuwa huru kumtambulisha kwa rafiki zake vinginevyo utaishia kumla mafichoni. Ukimuita sehemu ya wazi mkae mpate chakula anatoa udhuru ila room kwa hotel anakuja kwa kuwa anajua atakunja mkwanja atakupa unachotaka atasepa.

Kuwa na pesa and be smart
Sasa huyo si ni malaya? Yaani kila baada ya sex akunje mkwanja? Sasa si bora ulale malaya tu.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri kama wewe, siku zote for a man must be smart kila kona appearance na maongezi pia na ustaarabu mwingine.
Uko sahihi. Ukiwa smart usiwe pangu pakavu kabisa kiasi kwamba unahitaji kutunzwa. Hata kama ana pesa kukuzidi ila make sure una zako za kukujengea confidence kiasi kwamba humtegemei
 
Kweli demu anatakiwa akukute hata kwako sio everyday lodge.
Akija kwako aone hapo kwako kuna hadhi ya kuishi mtu.
 
Sio miaka hii pesa ngumu hivi, japo bado una point.
Kuna wanawake wameridhika na afu3 zao.
Wanaishi ndani ya bajeti… hao usitegemee kumfanya utakavyo eti kisa una M kadhaa kwa acc.

Na wapo wanaume ambao moyo ukimuelekea tu, hata free atapewa. Tena mapendo ya hapa yanakuwa mazuri haswa.

Tunapenda hela, ila hatuli za kila mtu. Mkibisha bisheni. Ila waulizeni mabro wenu, kama wanapataga kila wanachokitamani.
 
Sasa huyo si ni malaya? Yaani kila baada ya sex akunje mkwanja? Sasa si bora ulale malaya tu.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Kwa kiasi fulani pesa nyingi inang'oa malaya sana wale macho kumchuzi jaribu kufuatilia. Uzuri siku hizi hata malaya wako very smart na strategic siku hizi, hivyo kuwajua unahitaji uwe smart sana. Unaweza usitoe kila siku ila siku ukitoa umemnunulia gari na kumhamishia kwenye apartment kali. Next move inakuwa kumjengea nyumba halafu ukisafiri kuna jamaa presentable anamla bure kwa pesa yako. Unaanza kutembea na mguu wa kuku unamtafuta hohehahe anayekutafunia mrembo wako

Money is not everything
 
Kuna wanawake wameridhika na afu3 zao.
Wanaishi ndani ya bajeti… hao usitegemee kumfanya utakavyo eti kisa una M kadhaa kwa acc.

Na wapo wanaume ambao moyo ukimuelekea tu, hata free atapewa. Tena mapendo ya hapa yanakuwa mazuri haswa.

Tunapenda hela, ila hatuli za kila mtu. Mkibisha bisheni. Ila waulizeni mabro wenu, kama wanapataga kila wanachokitamani.
Hii umeongea kwa wadada walio smart tu ila hawa mwajuma ndala ndefu na wale kina manka mtonyo hawawezi kukuelewa, pia wale pisi za kwenda sasa kama kina poshi haziwezi kuelewa mwanaume mwenye staha na maridadi.
 
Back
Top Bottom