Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Usisahau hata appearance inatakiwa iwe angalau. Sio unapiga suruali size ya tambala la mashine ya kusaga, umenyoa kibwenzi, uko rafu unanuka kama bebebru, Kisa una pesa unaamini utabeba yeyote kwa kweli utapigwa vibuti utashangaa na hatimaye utahamia kwa walioshindikana.Kweli demu anatakiwa akukute hata kwako sio everyday lodge.
Akija kwako aone hapo kwako kuna hadhi ya kuishi mtu.