Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

Hivi we jamaa unawaongelea wanawake gani.....?
 
Dunia sphere mi nishazoea hapa kazini mpaka naona aibu. Nimeshakula wake za watu 4 na bado kuna foleni ya wanaotaka. Yaani ukifikiri sana haya mambo kuoa itakuwa ngumu lakini haina budi.
Watu wanabishia hadi shuhuda
 
Analoa nini??
 
Hilo si tatizo pia. Kama anafurahia maisha kwa kuwa mwaminifu acha awe regadless ya umalaya wa mkewe.
Maisha mafupi, Enjoy.
Fanya unaloona linakupa raha na usitake raha zako ziwe raha za mwingine.
 
"Analowa na kuliwa fasta"...rafiki hatari sana hii!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…