Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana.
Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi Wala kuona watu wanapigana nawewe una nywea kimya..
Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga huwezi kusema pale ni kwako utasema naishia geto maana Leo upo kesho unakuta walaka kuwa mwezi ujao upishe chumba hicho anakuja mwenye Hela kuliko wewe😹😹
Na huna Cha kumfanya maana sio kwako hapo.
Ni aibu na fedheha kuogozana na familia yako kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio mbaya zaidi hicho chumba ukute katokamo mpangaji mwenzio naye ni mwanaume kama wewe kaacha Kila aina ya nuksi
Unaleta Uzi mrefu hapa kupopoa watu waliojenga na wakahama kabla ya nyumba kuisha Ili Hali wewe huna hata msingi hiyo nguvu unatoa wapi ?
Kipindi naishi kwenye upangaji sikuwa na heshima kabisa imagine nilikuwa naitwa mpangaji wa fln😹😹
Mzee mwenyewe alikuwa ananiambia hata upange nyumba nzima na uilipie Kwa Kodi ya mwaka siwezi kuja kwako..siwezi kuja kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio aliyepambana hadi akajenga nitakuja kwako hata kama ukijenga Banda la nyasi mi nitakuja Kwa furaha zote.
TOKENI MAGETONI