Mwanaume una mke na watoto lakini unaishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio eti umepanga!?

Unapofanyia biashara pengine umekodi kwann usiwe na kwako ?

Hata kama watu wanaropoka waache na ujinga wao,

Mtu awe na gari, au nyumba kwanza ni mawazo ya muhusika,

Unafikiri hizo nyumba kila mtu akimiliki zitakaliwa na nani?

Ndiyo maana Kuna biashara ya nyumba na apartments kila uchwao,

Good afternoon mzee
 
Ngoja wapangaji waje wakupopoe mawe.
Eti wanadai heri kumiliki mabati ya mchina(gari) kuliko kumiliki nyumba.
 
Kupanga ni kupanga tu hatakama unalipa milioni hapo sio kwako
Ni kupanga na huyo aliyejenga alitegemea popo watalipia rent ? au binadamu?

Nyumba zili/zime/zina/zitajengwa kwa ajili ya wengine na sio lazima ambaye Hana utayari kwa wakati huo
 
Sisi
Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana.

Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi Wala kuona watu wanapigana nawewe una nywea kimya..

Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga huwezi kusema pale ni kwako utasema naishia geto maana Leo upo kesho unakuta walaka kuwa mwezi ujao upishe chumba hicho anakuja mwenye Hela kuliko wewe😹😹

Na huna Cha kumfanya maana sio kwako hapo.

Ni aibu na fedheha kuogozana na familia yako kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio mbaya zaidi hicho chumba ukute katokamo mpangaji mwenzio naye ni mwanaume kama wewe kaacha Kila aina ya nuksi

Unaleta Uzi mrefu hapa kupopoa watu waliojenga na wakahama kabla ya nyumba kuisha Ili Hali wewe huna hata msingi hiyo nguvu unatoa wapi ?

Kipindi naishi kwenye upangaji sikuwa na heshima kabisa imagine nilikuwa naitwa mpangaji wa fln😹😹

Mzee mwenyewe alikuwa ananiambia hata upange nyumba nzima na uilipie Kwa Kodi ya mwaka siwezi kuja kwako..siwezi kuja kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio aliyepambana hadi akajenga nitakuja kwako hata kama ukijenga Banda la nyasi mi nitakuja Kwa furaha zote.

TOKENI MAGETONI View attachment 3372862
ambao Bado tunakaa nyumbani tuna comment wapi?
 
Watanzania wengi wamekufa masikini wakiamini akijenga ndio kamaliza kila kitu baadae anaipeleka nyumba bank anakopa mkopo ambao una riba kubwa anashindwa kulipa Mkopo na ndoa inasambaratika ukiweza kulipa kodi tafuta eneo zuri uishi huku ukijitafuta usitafute sifa za kuwa umejenga kwako huku mambo yako mengi yamesimama..
Watanzania wengi wakijenga na kununua gari wao wanaona maisha yameishia hapo.
 
Ni kupanga na huyo aliyejenga alitegemea popo watalipia rent ? au binadamu?

Nyumba zili/zime/zina/zitajengwa kwa ajili ya wengine na sio lazima ambaye Hana utayari kwa wakati huo
Safi kabisa endelea kupigwa rent na baba mwenye nyumba utaendelea kuitwa mpangaji wa mzee juma.

a.k.a baba mwenye chumba
 
Hoja ya kitoto Sana hii, siyo kila kitu kila mtu anaweza kukitekeleza, kila mtu anapitia mazingira tofauti na ya mwingine. Mbona wewe umeanzisha thread kwenye mtandao wa mwanaume mwingine na unaona Raha Tu? Anzisha mtandao wako.
 
Issue ni vipaumbele
1)Kujenga si vibaya ni jambo la heshima na stara, familia hupata utulivu.

2)Kupanga si vibaya ila usijisahau maana sio kwako na koti la kuazima halistili matako.

Ila Kuna sababu nyingi za mtu kufanya upange na faida zake kihasibu ahuhisiki na Kodi za uchakavu.

3)Gari kihasibu ni liability ila kama linarahisisha shughuli zako au kukuongezea kipato linafaa.

Ila kila unachofanya, jua ni maisha yako
 
Hoja ya kitoto Sana hii, siyo kila kitu kila mtu anaweza kukitekeleza, kila mtu anapitia mazingira tofauti na ya mwingine. Mbona wewe umeanzisha thread kwenye mtandao wa mwanaume mwingine na unaona Raha Tu? Anzisha mtandao wako.
😂😂😂😂😂😂😂Alisikika Baba mwenye chumba akifoka kwa hasira kali.
 
Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana.

Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi Wala kuona watu wanapigana nawewe una nywea kimya..

Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga huwezi kusema pale ni kwako utasema naishia geto maana Leo upo kesho unakuta walaka kuwa mwezi ujao upishe chumba hicho anakuja mwenye Hela kuliko wewe😹😹

Na huna Cha kumfanya maana sio kwako hapo.

Ni aibu na fedheha kuogozana na familia yako kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio mbaya zaidi hicho chumba ukute katokamo mpangaji mwenzio naye ni mwanaume kama wewe kaacha Kila aina ya nuksi

Unaleta Uzi mrefu hapa kupopoa watu waliojenga na wakahama kabla ya nyumba kuisha Ili Hali wewe huna hata msingi hiyo nguvu unatoa wapi ?

Kipindi naishi kwenye upangaji sikuwa na heshima kabisa imagine nilikuwa naitwa mpangaji wa fln😹😹

Mzee mwenyewe alikuwa ananiambia hata upange nyumba nzima na uilipie Kwa Kodi ya mwaka siwezi kuja kwako..siwezi kuja kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio aliyepambana hadi akajenga nitakuja kwako hata kama ukijenga Banda la nyasi mi nitakuja Kwa furaha zote.

TOKENI MAGETONI View attachment 3372862
Hata wewe ukiwa kwenye daladala huwezi kumgombeza mkeo, na konda anaweza kukwambia ukakae mbele mkeo umuache nyuma

Hata wewe unaweza kushushwa kwenye bajaji na akaenda kuchukuliwa mwenye hela zaidi yako na huna cha kufanya

Ni fedheha sana wewe na familia yako kwenda kugombania siti kwenye daladala, kutiana nuksi na jasho

Unaleta uzi hapa kuwasema wenye magari ila wewe huna hata gari la kubustiwa
 
Hoja ya kitoto Sana hii, siyo kila kitu kila mtu anaweza kukitekeleza, kila mtu anapitia mazingira tofauti na ya mwingine. Mbona wewe umeanzisha thread kwenye mtandao wa mwanaume mwingine na unaona Raha Tu? Anzisha mtandao wako.
😂😂😂😂😂😂😂Alisikika Baba mwenye chumba akifoka kwa hasira kali.
Hata wewe ukiwa kwenye daladala huwezi kumgombeza mkeo, na konda anaweza kukwambia ukakae mbele mkeo umuache nyuma

Hata wewe unaweza kushushwa kwenye bajaji na akaenda kuchukuliwa mwenye hela zaidi yako na huna cha kufanya

Ni fedheha sana wewe na familia yako kwenda kugombania siti kwenye daladala, kutiana nuksi na jasho

Unaleta uzi hapa kuwasema wenye magari ila wewe huna hata gari la kubustiwa
Baba mwenye chmba anatamba sasa
 
Hoja ya kitoto Sana hii, siyo kila kitu kila mtu anaweza kukitekeleza, kila mtu anapitia mazingira tofauti na ya mwingine. Mbona wewe umeanzisha thread kwenye mtandao wa mwanaume mwingine na unaona Raha Tu? Anzisha mtandao wako.
Mwenye mtandao akisema akupige ban , anakupiga tu atakavyo
 
Ni masuala ya Qadar za Mwenyezi Mungu hakuna anaependa kuishi kwenye nyumba za watu bado wapo kwenye utafutaji hali ikiwa nzuri watajenga pia.
 
Back
Top Bottom