Mwanaume una mke na watoto lakini unaishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio eti umepanga!?

Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana.

Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi Wala kuona watu wanapigana nawewe una nywea kimya..

Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga huwezi kusema pale ni kwako utasema naishia geto maana Leo upo kesho unakuta walaka kuwa mwezi ujao upishe chumba hicho anakuja mwenye Hela kuliko wewe😹😹

Na huna Cha kumfanya maana sio kwako hapo.

Ni aibu na fedheha kuogozana na familia yako kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio mbaya zaidi hicho chumba ukute katokamo mpangaji mwenzio naye ni mwanaume kama wewe kaacha Kila aina ya nuksi

Unaleta Uzi mrefu hapa kupopoa watu waliojenga na wakahama kabla ya nyumba kuisha Ili Hali wewe huna hata msingi hiyo nguvu unatoa wapi ?

Kipindi naishi kwenye upangaji sikuwa na heshima kabisa imagine nilikuwa naitwa mpangaji wa fln😹😹

Mzee mwenyewe alikuwa ananiambia hata upange nyumba nzima na uilipie Kwa Kodi ya mwaka siwezi kuja kwako..siwezi kuja kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio aliyepambana hadi akajenga nitakuja kwako hata kama ukijenga Banda la nyasi mi nitakuja Kwa furaha zote.

TOKENI MAGETONI View attachment 3372862
Unaongea hayo huku huyo Mwanamke ni wa Mwanaume mwenzio na huenda hata watoto unaodhani ni wako ni wa mwanaume mwenzio.

Kwa hiyo kwa akili zako ni kwamba mtu anatakiwa kumiliki kila kitu?
Awe na gari, ndege, pikipiki, super market, hotel, Media house, mashamba n.k?
 
Mungu humpa kila mja wake kwa kadiri ya anavyoamua kumruzuku, Mja Acha majisifu....
 
Mtu kama huyo hana akili kabisa
Hii notion ya kitoto Sana Ndugu yangu, sidhani kama kupanga ni DHAMBI, ingekua DHAMBI kama umepanga na hulipi Kodi. Sasa kama umepanga nyumba ya laki Tisa kwa mwezi, unataka kweli kujifananisha na MTU kama huyu?
Sasa wa hivyo naye ana akili?
 
😂😂😂😂😂😂😂Alisikika Baba mwenye chumba akifoka kwa hasira kali.

Baba mwenye chmba anatamba sasa
JF kuna vituko, yaani mtu mzima anamuita mtu Baba mwenye chumba na hamjui hata kidogo na anachekelea tu kwenye mtandao wa mwanaume mwenzie na hajaona kama huo ni utumbo anaongea dah tuna safari ndefu😄
 
Wabongo acheni ushamba. Kila mtu ana kipaumbele chake katika maisha.
 
Kupanga ni kupanga tu hatakama unalipa milioni hapo sio kwako
Nyie mnapanga wapi ?. Nikipanga kipindi bado kodi yangu inasoma ni kwangu inahitaji nguvu ya ziada kunitoa kitu ambacho mtu yeyote anaweza tumia hiyo nguvu kukutoa kwenye nyumba yako coz kiuhalisia ardhi ni mali ya serikali
 
Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana.

Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi Wala kuona watu wanapigana nawewe una nywea kimya..

Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga huwezi kusema pale ni kwako utasema naishia geto maana Leo upo kesho unakuta walaka kuwa mwezi ujao upishe chumba hicho anakuja mwenye Hela kuliko wewe😹😹

Na huna Cha kumfanya maana sio kwako hapo.

Ni aibu na fedheha kuogozana na familia yako kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio mbaya zaidi hicho chumba ukute katokamo mpangaji mwenzio naye ni mwanaume kama wewe kaacha Kila aina ya nuksi

Unaleta Uzi mrefu hapa kupopoa watu waliojenga na wakahama kabla ya nyumba kuisha Ili Hali wewe huna hata msingi hiyo nguvu unatoa wapi ?

Kipindi naishi kwenye upangaji sikuwa na heshima kabisa imagine nilikuwa naitwa mpangaji wa fln😹😹

Mzee mwenyewe alikuwa ananiambia hata upange nyumba nzima na uilipie Kwa Kodi ya mwaka siwezi kuja kwako..siwezi kuja kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio aliyepambana hadi akajenga nitakuja kwako hata kama ukijenga Banda la nyasi mi nitakuja Kwa furaha zote.

TOKENI MAGETONI View attachment 3372862
Wabongo kwa mipasho, kama rais wao.
 
Unaongea hayo huku huyo Mwanamke ni wa Mwanaume mwenzio na huenda hata watoto unaodhani ni wako ni wa mwanaume mwenzio.

Kwa hiyo kwa akili zako ni kwamba mtu anatakiwa kumiliki kila kitu?
Awe na gari, ndege, pikipiki, super market, hotel, Media house, mashamba n.k?
Amesahau hata hii nchi ya Tanzania aliyojenga hiyo nyumba Rais sio tu mwanaume bali ni mwanamke, na huyo Rais ana uwezo wa kuamuru hiyo nyumba yake anyang'anywe na huyo mke wake..
 
Unaongea hayo huku huyo Mwanamke ni wa Mwanaume mwenzio na huenda hata watoto unaodhani ni wako ni wa mwanaume mwenzio.

Kwa hiyo kwa akili zako ni kwamba mtu anatakiwa kumiliki kila kitu?
Awe na gari, ndege, pikipiki, super market, hotel, Media house, mashamba n.k?
Wapi nimesema hayo yte jombaa?

Kwa elewa kupanga nyumba sio kosa wapo wanania ya kujenga hata kibanda ila uwezo ndo hivyo Tena hawana.

Niko hapa kupingana na wanaosema heri gari kuliko kujenga hapo ndo nipo nawaambia hapa
 
"Huwa sitaki kubembelezwa kusogeza mbele muda wa malipo ya kodi kwa sauti ya kiume, mtume mkeo au binti yako" Alisikika mwenyenyumba wa hovyo.
 
Kuna jamaa zangu kibao walioamishiwa Dodoma kikazi wameamia huko wanaishi nyumba za kupanga wakati wameacha nyumba zao huku dar es salaam.
Mkuu usituharibie biashara ma landlord
 
Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana.

Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi Wala kuona watu wanapigana nawewe una nywea kimya..

Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga huwezi kusema pale ni kwako utasema naishia geto maana Leo upo kesho unakuta walaka kuwa mwezi ujao upishe chumba hicho anakuja mwenye Hela kuliko wewe😹😹

Na huna Cha kumfanya maana sio kwako hapo.

Ni aibu na fedheha kuogozana na familia yako kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio mbaya zaidi hicho chumba ukute katokamo mpangaji mwenzio naye ni mwanaume kama wewe kaacha Kila aina ya nuksi

Unaleta Uzi mrefu hapa kupopoa watu waliojenga na wakahama kabla ya nyumba kuisha Ili Hali wewe huna hata msingi hiyo nguvu unatoa wapi ?

Kipindi naishi kwenye upangaji sikuwa na heshima kabisa imagine nilikuwa naitwa mpangaji wa fln😹😹

Mzee mwenyewe alikuwa ananiambia hata upange nyumba nzima na uilipie Kwa Kodi ya mwaka siwezi kuja kwako..siwezi kuja kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio aliyepambana hadi akajenga nitakuja kwako hata kama ukijenga Banda la nyasi mi nitakuja Kwa furaha zote.

TOKENI MAGETONI View attachment 3372862
Punguza ushauri we pimbi, watu wana mipango yao. Alafu hili pimbi litakuwa la kanda ya ziwa. Eti mtu ametokamo ndio kiswahili gani?? Punguani wahedi...
 
Tatizo lako mawazo yako ya kupanga ni ya chumba cha kwenye korido ndefu na baba mwenye nyumba anakaa uani.

But hata kama ndivyo?
Mpk unapanga manake unalipa kodi sio?
Bado ni kodi inayotokana na kipato chako.

Kujenga nyumba ni muhimu but haimaanishi ambao hawajajenga nyumba wanazoishi ndo wamwzingua.

We jenga wao wanunue gari.
Maisha hatuwezi kufanana vipaumbele hata siku moja.

Na ndio uzuri wa maisha ulipo...
Acha dharau.
 
Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana.

Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi Wala kuona watu wanapigana nawewe una nywea kimya..

Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga huwezi kusema pale ni kwako utasema naishia geto maana Leo upo kesho unakuta walaka kuwa mwezi ujao upishe chumba hicho anakuja mwenye Hela kuliko wewe😹😹

Na huna Cha kumfanya maana sio kwako hapo.

Ni aibu na fedheha kuogozana na familia yako kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio mbaya zaidi hicho chumba ukute katokamo mpangaji mwenzio naye ni mwanaume kama wewe kaacha Kila aina ya nuksi

Unaleta Uzi mrefu hapa kupopoa watu waliojenga na wakahama kabla ya nyumba kuisha Ili Hali wewe huna hata msingi hiyo nguvu unatoa wapi ?

Kipindi naishi kwenye upangaji sikuwa na heshima kabisa imagine nilikuwa naitwa mpangaji wa fln😹😹

Mzee mwenyewe alikuwa ananiambia hata upange nyumba nzima na uilipie Kwa Kodi ya mwaka siwezi kuja kwako..siwezi kuja kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio aliyepambana hadi akajenga nitakuja kwako hata kama ukijenga Banda la nyasi mi nitakuja Kwa furaha zote.

TOKENI MAGETONI View attachment 3372862
Oya muoneni huyu.
Hebu toka huko Bonyokwa nenda nchi za wengine ukajifunze maisha. Unadhani hii dunia ni ya kila mtu kujenga?
Wahindi wanaishi NATIONAL HOUSING UPANGA na wana hela kuliko wewe unayeamka saa 9 ili uwa bus.
 
Ukifa mke wako atalala kwenye gari yako.😂😂😂😂😂😂😂
Kwann watu concern kubwaa huwa kufa tu???.
Hiv unadhani hata wewe ukifa huyo mkeo na wanao watakosa pa kuishi na kula??
Maisha yako tu hayako ndani ya controll yako, sembuse ya wengine hata kama ni mkeo au wanao??.

Nimejenga na nina usafiri. Lakin leo hii nyumba iko tupu wife kapanga mtaani na watoto. Nina gari lakin ni washkaji wanaitumia saa hii ambao hawakuchangia 10 mbovu!!

Maisha ni kitu complex sana
 
Kila jambo huja kwa wakati wake.. Si kwa kuchelewa.. Si kwa kuwahi.
Siku hizi baadhi ya vijana wakijipata huja na tumaneno twa hovyo sana.

Kuna mmoja tumekutana kwenye Msiba kaja na usafiri basi lecture weeee nyiingi kisa kabeba wafiwa😀😀😀

Mwishoni akaja kujua kuwa baadhi ya alikuwa anawapa lecture waliondoka na LC 300 za kwao 😀😀😀

Nikabaki mimi na yeye..akanipa lift namshukuru sana.
Siku amekuja kuniona sehemu pasipo kutegemea nami nimeshuka kwenye kimkebe changu😀😀😀 na kobazi zangu taratibu.

Vijana waelewe kuwa kupanga sio dhambi..kuna watu hatuwezi kuhama posta hata iweje.
Kuna watu hatuwezi hama kati kati ya mji..ndiko pesa zipo kama wahindi vile.

Wewe jenga kaa na familia yako,kula,kunya lala.Waache waliopanga wazungushe pesa na Baba wenye nyumba.
 
Back
Top Bottom