Mwanaume una mke na watoto lakini unaishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio eti umepanga!?

Sahihi. Nipo hapa kuwapa ujumbe wale wanaoleta nyuzi hapa walisema heri kununua gari kwanza kuliko kujenga wanadai anaweza kulala kwenye gari lake na maisha yakaenda wanaenda mbali zaidi Kwa kutoa mifano kuwa marekani watu wengi hulala kwenye magari yao
Wako sahihi pia na maana yao ni hii
Kukodi nyumba/kwa mwezi ni kati ya laki moja mpaka laki 3.. Lakini kukodi gari kwa mwezi si chini ya 1.5M
Siku hizi baadhi ya vijana wakijipata huja na tumaneno twa hovyo sana.

Kuna mmoja tumekutana kwenye Msiba kaja na usafiri basi lecture weeee nyiingi kisa kabeba wafiwa😀😀😀

Mwishoni akaja kujua kuwa baadhi ya alikuwa anawapa lecture waliondoka na LC 300 za kwao 😀😀😀

Nikabaki mimi na yeye..akanipa lift namshukuru sana.
Siku amekuja kuniona sehemu pasipo kutegemea nami nimeshuka kwenye kimkebe changu😀😀😀 na kobazi zangu taratibu.

Vijana waelewe kuwa kupanga sio dhambi..kuna watu hatuwezi kuhama posta hata iweje.
Kuna watu hatuwezi hama kati kati ya mji..ndiko pesa zipo kama wahindi vile.

Wewe jenga kaa na familia yako,kula,kunya lala.Waache waliopanga wazungushe pesa na Baba wenye nyumba.
alikuwa anawapa lecture waliondoka na LC 300 za kwao 😀😀😀

Nikabaki mimi na yeye..akanipa lift namshukuru sana.
Siku amekuja kuniona sehemu pasipo kutegemea nami nimeshuka kwenye kimkebe changu😀😀😀 na kobazi zangu taratibu.
 
Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana.

Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi Wala kuona watu wanapigana nawewe una nywea kimya..

Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga huwezi kusema pale ni kwako utasema naishia geto maana Leo upo kesho unakuta walaka kuwa mwezi ujao upishe chumba hicho anakuja mwenye Hela kuliko wewe😹😹

Na huna Cha kumfanya maana sio kwako hapo.

Ni aibu na fedheha kuogozana na familia yako kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio mbaya zaidi hicho chumba ukute katokamo mpangaji mwenzio naye ni mwanaume kama wewe kaacha Kila aina ya nuksi

Unaleta Uzi mrefu hapa kupopoa watu waliojenga na wakahama kabla ya nyumba kuisha Ili Hali wewe huna hata msingi hiyo nguvu unatoa wapi ?

Kipindi naishi kwenye upangaji sikuwa na heshima kabisa imagine nilikuwa naitwa mpangaji wa fln😹😹

Mzee mwenyewe alikuwa ananiambia hata upange nyumba nzima na uilipie Kwa Kodi ya mwaka siwezi kuja kwako..siwezi kuja kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio aliyepambana hadi akajenga nitakuja kwako hata kama ukijenga Banda la nyasi mi nitakuja Kwa furaha zote.

TOKENI MAGETONI View attachment 3372862
sio kila m2 ana uwezo wa kujenga mkuu!!
 
Mhhh, hata diamond amepanga, je yeye sio Duke kwa vigezo vyako!!!?
 
Sahihi - kila mmoja ana Fikra zake, Maono, Hisia na Mitizamo yake binafsi kuhusu mapendeleo ya maisha yake.

Wengine gari kwanza - wengine nyumba kwanza, wengine mtoto kwanza - wengine ndoa kwanza, wengine biashara kwanza - wengine kazi za tenda na mengine mengi......

Hivyo ni ngumu sana kubadilisha point of view ya mtu haswa kama mtu tayari ameathiriwa na Malezi, Marafiki, Tabia, Tamaa ya moyo hata Taharifa anazozitizama, kuzisoma na kuzisikia.

By the way Hongera kwa kujenga mkuu!!
 
Kwa mtazamo huu uko nyuma ya muda ndugu yangu, wewe kwako unaelewa kupanga kupewa msaada, na siyo mpangishaji anafanya biashara, anayolipwa fedha halali ya jasho la mwanamme mwenzake.
Je wananunua chakula kilicholimwa na wanaume wengine hii nisawa?
Unachotakiwa kujua, Kupanga kuna sababu, mbalimbali inayomlazimu mtu kufanya hivyo.
Maana wapo wanaopanga ila sehemu zingine wanamiliki nyumba zao tena wengine wanapangisha pia.
 
Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana.

Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi Wala kuona watu wanapigana nawewe una nywea kimya..

Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga huwezi kusema pale ni kwako utasema naishia geto maana Leo upo kesho unakuta walaka kuwa mwezi ujao upishe chumba hicho anakuja mwenye Hela kuliko wewe😹😹

Na huna Cha kumfanya maana sio kwako hapo.

Ni aibu na fedheha kuogozana na familia yako kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio mbaya zaidi hicho chumba ukute katokamo mpangaji mwenzio naye ni mwanaume kama wewe kaacha Kila aina ya nuksi

Unaleta Uzi mrefu hapa kupopoa watu waliojenga na wakahama kabla ya nyumba kuisha Ili Hali wewe huna hata msingi hiyo nguvu unatoa wapi ?

Kipindi naishi kwenye upangaji sikuwa na heshima kabisa imagine nilikuwa naitwa mpangaji wa fln😹😹

Mzee mwenyewe alikuwa ananiambia hata upange nyumba nzima na uilipie Kwa Kodi ya mwaka siwezi kuja kwako..siwezi kuja kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio aliyepambana hadi akajenga nitakuja kwako hata kama ukijenga Banda la nyasi mi nitakuja Kwa furaha zote.

TOKENI MAGETONI View attachment 3372862
Ujiga ni moja ugonjwa mbaya sana,kwamba wanoishi nyumba za kupanga hawastahili kuishi humo?,unajua ya kwamba aslimia 80 ya sisi tunaoishi mjini tunaishi nyumba za kupanga na maisha ni mazuri kuliko hata hao wenye nyumba maana wanaishi kama maskini,siku tano kabla ya mwezi kwisha anaanza kukumbusha kodi,sasa kama si umaskini ni nini,acha ujinga wewe
 
Ww umejenga mabanda ya uani mdaula huko zen waja kutupigia kelele…
Mwenye nyumba hana kelele hivyo. Ww sema unabanda la kuegesha ubavu..

Na kwa maisha hayo ya kulala na tandu bora nipange kwanza.
 
Halafu unakuja hapa kutubeza sisi tusiokuwa na gari ila tumejenga unaatuona ni malofa ila wewe unayeishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio unajiona ni mwamba sana.

Kwanza hapo huna mamlaka hata ya kumgombeza mkeo mwenye nyumba anaweza kutoka kifua wazi na kukukoromea kuwa hapa sitaki ugomvi Wala kuona watu wanapigana nawewe una nywea kimya..

Ukiwa kwenye nyumba ya kupanga huwezi kusema pale ni kwako utasema naishia geto maana Leo upo kesho unakuta walaka kuwa mwezi ujao upishe chumba hicho anakuja mwenye Hela kuliko wewe😹😹

Na huna Cha kumfanya maana sio kwako hapo.

Ni aibu na fedheha kuogozana na familia yako kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio mbaya zaidi hicho chumba ukute katokamo mpangaji mwenzio naye ni mwanaume kama wewe kaacha Kila aina ya nuksi

Unaleta Uzi mrefu hapa kupopoa watu waliojenga na wakahama kabla ya nyumba kuisha Ili Hali wewe huna hata msingi hiyo nguvu unatoa wapi ?

Kipindi naishi kwenye upangaji sikuwa na heshima kabisa imagine nilikuwa naitwa mpangaji wa fln😹😹

Mzee mwenyewe alikuwa ananiambia hata upange nyumba nzima na uilipie Kwa Kodi ya mwaka siwezi kuja kwako..siwezi kuja kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio aliyepambana hadi akajenga nitakuja kwako hata kama ukijenga Banda la nyasi mi nitakuja Kwa furaha zote.

TOKENI MAGETONI View attachment 3372862
Kwa hiyo unawananga wahindi?
 
Back
Top Bottom