Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

Sure
 
Ngoja nikusaidie au nikujazie jambo ili mada yako iwe na uzito. Mwanamke mrefu kibailojia huanzia futi 5. The desired height au kimo cha urefu ambacho ni standard ya uzuri kwa mwanamke ni kuanzia futi tano kamili hadi futi 5.9 asizidi hapo.

Mwanamke akiwa na kuanzia futi 6 hata wao wenyewe huwa hawafurahii kimo chao sababu kinawatoa katika muonekano wa mwanamke wa kawaida na kundi la wanawake wa kuanzia futi 6 wengi wao hawavutiwi na wanaume warefu kwa maana ya futi sita kwenda juu bali huvutiwa na wanaume wafupi au wanaolingana nao kimo. Hii ipo na ni scientific fact.

So kwenye hii mada yako kama umemaanisha hawa wadada wa urefu wa kuanzia futi 5 hadi 5.9 then hawa ni kawaida sana sababu on average huo ndio urefu wa mwanaume wanaume wengi ni kuanzia 5.5 kwenda juu wengi sana. Mwanaume akiwa below futi 5.5 huyu ni mfupi so mwanamke wa urefu kuanzia futi 5 kwenda hadi futi 5.9 huwa hawezi vutiwa na mwanaume below futi 5.5.

Ila kama unasema wale wanawake wa kuanzia 5.9 hadi futi 6.9 hao huvutiwa na wanaume wa average height ya mwanaume yaani from futi 5.5 and above but not more than futi 6.5 maana. Wanachangamoto zao ndio maana huwa hawapendi.

Kwa mwanamke huwa anakuwa comfortable zaidi na mwanaume mwenye zile sifa zinazokubalika zaidi katika jamii zote na kuonekana ni standards za kumdefine mwanaume.
 
Hivi na sisi WAFUPI situnaingia kundi la walemavu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…