Mwanaume unaweza kukubali mkeo aoshwe miguu na kusuguliwa kucha na vijana wengine?

Swali, Hii Kazi za kusugua miguu imepataje kuwa kazi ya kiume hapa bongo wakati nje ya nche wengi wanaoifanya ni wanawake , hasa hawa wenye asili ya ki Asia?
 
Ni kweli lakini bora usijue,kwa hiyo kwa sababu huwez kumlinda basi humwekei sheria?
 
Sitaki aoshwe wala simuoshi ikiwa mwanamke kuosha miguu tu itakate hawezi huyo ni mchafu na hanifai pia
issue sio kuosha kawaida inaoshwa kitaalam na kupakwa rangi, mbona kutwa mnawapa michepuko hela waende huko wapendeze ? hahahah
 
Hayo hayazuiliki, huyo mke mpaka unampata alishapitiwa sana, hata kama umeoa bado anaweza liwa tu, Wanaume nao ni hivyo hivyo. kwa hio tatizo sio massage au kuoshwa miguu ni uamuzi wa mtu binafsi
 
Hayo hayazuiliki, huyo mke mpaka unampata alishapitiwa sana, hata kama umeoa bado anaweza liwa tu, Wanaume nao ni hivyo hivyo. kwa hio tatizo sio massage au kuoshwa miguu ni uamuzi wa mtu binafsi
Najua siwez mchunga muda wote lakini utatoa ruhusa afanyiwe? Au ukiona utakaa kimya kwa sababu alishaanzaga?. Kwa hiyo uoa mke ambaye sio bikra ruksa kula na wengine?
 
ukisikia analia ujue kalizwa na alie lizwa alisha liza

wanaume uko saloon unashikwa shikwa masikio mara kifua ukisafishwa kichwa au massage
je mkee au mchumba akikuona si unaweza kulia

acha mwanamkee asuguliwe kucha na pajaa

uwezi oshaa ujaoshwaaa
 
Unaunga mkono upande gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…