Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli lakini bora usijue,kwa hiyo kwa sababu huwez kumlinda basi humwekei sheria?I can't complicate like this way,nitaanza kukomplicate kuhusu wanawake siku nitakapowaelewa kuwa wao huwa wanataka nini kwa wanaume,maana kumuchunga mwanamke ni sawa na kuchunga bahari eti watu wasivue samaki,maana ukilinda hapa,kule lazima wavue tu.
Mkeo utamzuia kuoshwa miguu sijui kusuguliwa kwa lengo la kumlinda asiliwe,utakuja mkuta kaliwa na bodaboda,shamba boy,au mtu yeyote,wanaume wenzangu naomba mtambue kuwa mnapowaowa hao wake zenu jueni kuwa mnawakuta wakiwa na meno 32 nikimaanisha ni watu wazima na wana maamuzi yao binafsi,sasa yanini kuhangaina nao kivile?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
issue sio kuosha kawaida inaoshwa kitaalam na kupakwa rangi, mbona kutwa mnawapa michepuko hela waende huko wapendeze ? hahahahSitaki aoshwe wala simuoshi ikiwa mwanamke kuosha miguu tu itakate hawezi huyo ni mchafu na hanifai pia
Hayo hayazuiliki, huyo mke mpaka unampata alishapitiwa sana, hata kama umeoa bado anaweza liwa tu, Wanaume nao ni hivyo hivyo. kwa hio tatizo sio massage au kuoshwa miguu ni uamuzi wa mtu binafsiNimekaa nimejiuliza sana lakini jibu linalokuja kichwani ni tofauti na ninayoyaona mtaani.
Rejea kichwa juu. Una mke/mchumba unaweza kumruhusu asuguliwe miguu na kuoshwa kucha na vijana wanaofanya biashara hiyo?
Una mume/ mchumba unaweza kukubali mumeo akafanye massage (kukandwa kandwa) na muhudumu wa kike? (Kumbuka hukandwi ukiwa na nguo zote) na ikiwa hakuna shida je kidume unaweza kukubali kukandwa na kidume mwenzio ili mkeo akwamini kuwa ni massage tu?
Msimamo wangu mimi nakataa hizo biashara zote full stop sababu zitakuja kwenye koment chini.
Naombeni kuwasilisha
Najua siwez mchunga muda wote lakini utatoa ruhusa afanyiwe? Au ukiona utakaa kimya kwa sababu alishaanzaga?. Kwa hiyo uoa mke ambaye sio bikra ruksa kula na wengine?Hayo hayazuiliki, huyo mke mpaka unampata alishapitiwa sana, hata kama umeoa bado anaweza liwa tu, Wanaume nao ni hivyo hivyo. kwa hio tatizo sio massage au kuoshwa miguu ni uamuzi wa mtu binafsi
Unaunga mkono upande gani?ukisikia analia ujue kalizwa na alie lizwa alisha liza
wanaume uko saloon unashikwa shikwa masikio mara kifua ukisafishwa kichwa au massage
je mkee au mchumba akikuona si unaweza kulia
acha mwanamkee asuguliwe kucha na pajaa
uwezi oshaa ujaoshwaaa
wakuliwa na aliwe na wakula na aleeUnaunga mkono upande gani?
Mna Muda Sasa wa kutufanyia hayo..!!
Sasa si ndiyo vizuri kula chakoMi siwezi, nitaishia kumla tu!
Sasa si ndiyo vizuri kula chako
Kila la kheriNikiwa mkubwa natamani kuwa Mr Kucha![emoji276]
Ni tabia tu ya mtu, mimi napaka rangi huko muda mrefu sijawah patwa na lolote.
WEKA PICHADear Ncha Kali utasubiri sana😅😅maana najua hutoyatendea masagamba yangu haki😆😆