smileagain
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 585
- 630
Ha ha ha sijakuelewa
hahhha ule utamu haufai kushare, mbaya zaidi ulikua unajiona fundi mwenyewe, mtoto anakulilia sauti zote chumbani... aargh!!!
Hahahaha..... Kiongoz Wewe Ni Noma "eti Your My Vampire""Ooh bebi you are my vampire, suck all my blood" kumbe kuna ma vampire na mazombie mengine nayo yanasuck the blood f*ck
Wanamama nini kinawaumiza sana mkiwa-cheated?
Haya mambo tuyasikie tu kwa watu... never say never, cha muhimu ni kuomba yasikukute!!! Inauma umeangaika kuchangisha hela ya harusi na zingine umekopa afu kuna waluwalu anakugongea bure kabisa, na mke ukiwa nae anajichekesha tu like nothing is going on!!!
Daah yani ile feeling ya kwamba "ule utamu nnaopewa mie, yale masomething something" kuna mwingine anapewa inaniumizaga mnooo yani hata kuwaza tu naumia mnooo
Kweli mapenzi yanauma Sana,Sana, Sana but kujiua ni dhambi kubwa Sana it's hard even to forgive yourself for dat,hata Mungu unakuwa umemkosea manake hukumwamini Kama anaweza kukupa sababu nyingine ya kui- ishia....ila nkifikia hatua hiyo manake huyo mtu kanikosanisha na Mungu wangu,kaniumiza pasipoponeka,na ni ngumu kumsamehe something ambacho kitaninyima raha na amani then itabidi atangulie yeye na washenzi wote waliochangia,I can't die and leave them alive,itabidi twende wote tu....hamna namna,tena kuhakikisha wamezikwa tayari ndo nawafata and the game will be over.
Yani sijui niongee na mshana jr ili something yangu isitumiweHahaha. We mchoyo kumbe?
Kweli ila kwa nini mtu hasira zisiwe after her instead anajiua mwenyewe
Hahaa..ukiwaza na Yale meno aliyokung'ata ndo kabisaa.
Yani sijui niongee na mshana jr ili something yangu isitumiwe
Nifunge mita iwe inanihesabia units lol
Mkuu nakuunga mkono, hao wenye uwezo mdogo wanahitaji mssada sana.Mkuu, fupisha tu kwa kusema kuwa, watu wametofautiana katika uwezo wa kupokea na kuhimili mambo yasiyofurahisha. Kuna mtu anaweza akahimili kitu cha kuumiza kama kuishi na mwanamke anesaliti ndoa na rafiki wa karibu na watu wasijue, wakati hapohapo kuna mtu anaweza kujinyonga kwa kudaiwa deni la sh. Laki 2.
Au kama huo mfano ni mgumu, kuna huu mwingine, kuna mtu anaweza kusikitika kwa miezi sita kutokana na kutukanwa tu kuwa ni m.shenzi n.k Wakati hapohapo kuna mwingine anatukanwa na mtaa mzima kila siku anacheka na kushirikiana na haohao wanaomtukana.
Yani sijui niongee na mshana jr ili something yangu isitumiwe
Nifunge mita iwe inanihesabia units lol
Dah apumzike kwa amani, hii something between somethings ni hatari inaua etiWe evelyn sikuwezi, maimagination yako tu, yan sipati picha sarakasi unazopiga na maufundi unayoonyeshaga huko.
Ntakutafuta chemba unijuze zaidi
Swala la kujiua kwa kweli mi nashindwa kuliongelea sana...
maana kuna jamaa mmoja alikuwa mchumba wa ndugu yangu..wamedate for a year baadaye wakawa wanaishi mbalimbali kimkoa kwa sababu za kikazi. Siku jamàa anamfata fiance wake ili wamalizie taratibu...dada akawa ameshachange mawazo akamwambia hamtaki tena yeye anaendelea na maisha yake mwenyewe.
Kuambiwa hivyo jamaa si akajiua tena mle mle chumbani mwa dada...bwia mafragyl sindikiza na konyagi akarest in peace
Even Kafungue Inbox Au Nijinyonge!!
Ulimbukeni na Kuanza Mapenzi Ukubwani Ndio Tatizo... Kwahiyo nijiue Mimi harafu yeye namuacha aendelea kutafunwa? Aisee Bado kabisaa