Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

Shida mnabadilikaga nyie mambo ya kuanza kupelekana ustawi wa jamii

Saa hizi unasema vizuri tu kwamba ni hiari kulea baadae uanze kumuendea jamaa kwa mkewe kuwa hatumi matunzo

Otherwise it's a good deal

Mwamba umeshtukia mtego sio...

Kama kweli anahitaji mtoto tu, basi angeshamtunuku mchizi yeyote kitaa akamue mzigo...
 
wakati wa Mungu ni wakati sahihi unaonaje ukimtafuta Mungu halafu ndio hayo mambo utapata sasa wewe hujui kuwa shetani na mawakala wake ndio wamepata chakula ? wewe unafikiria binadamu wote ni sawa .kuna wengine humu ni watoa kafara ooooh dada kuwa makini mtafute Mungu hicho kitu kitajileta chenyewe watoto mume pesa hazitakusaidia
 

Kigezo Cha Elimu kimeniengua, hata hivyo sipo kwenye kinyang'anyiro.
Upate hitaji la moyo wako.
 
Wanawake ni wajanja mno hawapotezi ama hawataki hasara yaaani wao always wanataka wanufaike na mahusiano. Mana anajua kesho atakuomba msaada. Hapa inatakiwa mou la sivyo ataanza kuleta vurugu kutumia mtt ili apate urithi asomeshwe.
Hoyaa zaeni kwa wake zenu achacheni kukojoa Kila mahala.
Yaani huyu ni kweli angekuwa mzuri angezalishwa akiwa olevo
 
Ww unatafuta Sperm donor.....? Au Mume....?
 
Sogea chuo kilicho karibu nawe utaona majina ya waliohitimu degree weeeengi na picha zao,chagua muyajenge.
 
Mwamba umeshtukia mtego sio...

Kama kweli anahitaji mtoto tu, basi angeshamtunuku mchizi yeyote kitaa akamue mzigo...

Ikitokea mwamba risasi haziui na hazileti madhara inakuaje hapo?

Watu wanachukulia jambo la mtoto kama kitu kidogo sana. Kwamba unaweza kuzaa tu na mtu Kwa rejareja. Kama ma Ex tu wanasumbuana, itakujakua wazazi wenye mtoto? Haishii hapo kwenye mtoto tu.

Uko salama kiongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…