Habari zenu jmn..
Natafuta mwanaume wa kuzaa nae&kulea wote kwa hiari
Mi ni KE, miaka 31,
mrefu 1.67m,maji ya kunde, mwili size medium,
Elimu - post graduate,Kazi- mwajiriwa
Kimaisha ninajitegemea na najipenda kama mwanamke
Sijaolewa,sijazaa
Nahitaji sana mtoto wa jinsia yoyote na Baba mtoto ambaye naye anahitaji pia mtoto na ana hiari tulee wote kijana/binti yetu,
Ninachopenda
ME, umri zaidi ya miaka 40(below 40 basi uwe mtu unayejielewa&unaelewa maisha),
Uwe single/married/divorced its okay..tutazungumza
Mwonekano uwe Mrefu,mweupe/maji ya kunde, uwe msafi/unajipenda na unajiweza kimaisha,
Kielimu minimum ni degree,
Ndoa kwa sasa hapana, kipaumbele ni mtoto bila masharti ya jinsia ya mtoto,
Mkoa Dar,Moro/Dom
Kama utapenda karibu tuongee mengine via email
theroyalteawithjam@gmail.com