Mwanaume usikosee kuoa mwanamke mnayepishana mwaka mmoja, miwili hadi mitano; hiyo ni time bomb

Mashaallah. Mimi ni wa 70's.I'm married to my partner in crimes wa 70's and we are still strong.
 
Kaka usilete ishu za Mungu katika suala ambalo unatakiwa ulifanyie maamuzi na una uwezo halo. Ukiweza fata wazee wakueleweshe haya mambo, masuala ya kufunga na kuomba kwa Mwamposa yamejaa manyang'au ukiyaona unaona Mke kabisa, kumbe hamna kitu
Sawa sijataja neno mwamPosa hapa,Swala lolote ukitaka upige hatua ni maandalizi na Imani ndipo unatoboa.....

Mungu ndiye anajua yote,Yaani unaweza kaa na mtu akakuigizia maisha Asilimia 100 ukasema sindo huyu ,ila ukimtuaini Mungu anakuonyesha pia hapa hapana au bado mda wako n.k .Mwanadamu usitegemee akili zako mwenyewe
 
In contrary ukioa mwanamke unaemzidi miaka 10 au zaidi ni "suicide vest"...
 
Mkuu acha kusingizia Mungu na hofu zako plz, Mungu alitupa kila kitu akili na viungo vingi ili tuweze kufanya maamuzi sahihi, wewe utaenda je bar upate mke ndo uanze kumsingizia Mungu, achane kuhusisha udhaifu wenu na Mungu iko costanta kwa kila mtu na kila jambo, hata kwa wale wasio muamini
 
😆😆😆😆😆
 
In contrary ukioa mwanamke unaemzidi miaka 10 au zaidi ni "suicide vest"...
Elezea ki vip mkuu wewe uwe 60yrs mkeo awe 50yrs, kuna jambo la ajabu hapo mbona mna match sawa mkuu, kasi yenu ya maumbile unakua sawa kabisa.
 
Ngoja niishie hapa..Maana hatujaelewana ukisoma andiko langu utanielewa vizuri ,rudia tenah kulisoma...
 
Nakuunga mkono, nimekuwa nikiwaambia Wasio oa, mwanamke sahihi ni yule unaemzidi kuanzia miaka 10 Ila watu hawanielewi.

Ukiwa na mwanamke uliemzidi 10-15 hata uchepukaji utapungua. Tatizo linakuja kwa wale wanaume wanaotaka akiwa na miaka 20 tu awe na ndoa hapo kupishana umri sahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…