Mwanaume usikubali kuuza nafasi yako uliyopewa na Mungu kama kichwa cha familia, hata umpende mwanamke kiasi gani nafasi yako ndio heshma yako

Kilichomtoa mafichoni ni jina.... nasib Abdul Jumaa. Hiyo ndio ilikua kete yake ya ushindi 😁😁
 
Mjamzito unawezaje kuwa na boyfriend ambaye si mhusika wa mimba?
Kashaulo hayo yapo sana kwa wanaume aina ya Abdul
Yeye anachotaka shughuli tuu, ujauzito kwao sio pingamizi😂😂😂
 
Anakua na uelewa na ushirikiano na welfare ya mwanamke anayempenda ikiwemo mambo ya imani na jamii
Maisha ya sasa watu wanaweka pesa mbele,
Na ukiwa nazo then zikaisha ni marumbano yanaanza.
 
Maisha ya sasa watu wanaweka pesa mbele,
Na ukiwa nazo then zikaisha ni marumbano yanaanza.
Wanaume watafute pesa wajenge familia na wawe committed kwa wenza wao haya mambo yatapungua
 
TTCL hawajakuunganisha kwenye fiber?
1 Month internet package - unlimited
Nipe namba nikuunge😂😂😂
Natumia halotel na Vodacom kwanz ebu ukuje pm ndioo kwa kujadil haya mambo
 
Kwa majasho yenu tule
Sifikilii kupata mke msumbufu kwa sababu najua Mungu yuko upande wangu.

But swala la kupata Mume bora wanawake kazi mnayo. hilo ndilo jarbu lenu kubwa hapa duniani.

Ukiwa mpumbavu, utaishia kuachika kama shilole.
 
Sifikilii kupata mke msumbufu kwa sababu najua Mungu yuko upande wangu.

But swala la kupata Mume bora wanawake kazi mnayo. hilo ndilo jarbu lenu kubwa hapa duniani.

Ukiwa mpumbavu, utaishia kuachika kama shilole.
Ukienda na Mungu mengine yote yatasimamiwa nae
 
Na sidhani kama wanalipwa hizo interviews
hata kama alilipwa kwa sasa ndo hana jipya tena maana mjadala umefungwa, aliwaona wajinga kwa kumsitiri miaka 8 bt kwa sasa atajuta zaidi maana hata ile thamani alokua nayo kijamii kama baba nasibu ndo hatoipata tena.
 
Naona wanawake mmeamua kusimama upande wa mzee mama, BTW, dunia njia, dunia duara!! Nahisi haya yote yamekuja baada ya Harmonize kusema ikiwa wazazi wote ni nguzo hapa duniani kwanini uumfurahishe mmoja ilhali mwengine anasononeka? Baba Dangote alipohojiwa akasema mzazi mwenzie yuko kivulini hawezi kuumia kama yeye wa juani. Nadhani hayo yalimvuruga mzee mama akajikuta anasema "liwalo na lawe".

Ila mama alipigwa mashine akanasa dundo, wakaichoropoa, akatega mashine tena dundo likanasa baadaa ya ndom kupasuka, and hapo tayari alikua keshazaa naBabu yake Dayana so kwa haraka haraka tuseme mzee NGOTE alikuta booonge la dagi kama gear leaver ya Isuzu Journey, juu inagusa mpaka dashboard ila chini gear haija-engage..

wanawake bhana, since day one pale Eden walituletea shida.

Once a chips funga always a chips funga!!! Braza Shamte na wewe jiandae kilichompata mamba Kiboko atakutana nacho tu hata aneng'eneke vipi!
 
Si mshaambiwa msioe?
Shida nini, KWANINI HAMSIKII NYIE VIUMBE?😳😳😳😳

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…