Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,936
- 4,947
Rafiki / boyfriend
Mjamzito unawezaje kuwa na boyfriend ambaye si mhusika wa mimba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki / boyfriend
Kilichomtoa mafichoni ni jina.... nasib Abdul Jumaa. Hiyo ndio ilikua kete yake ya ushindi 😁😁Baba Dai ana makosa ya kujitokeza kutaka kufaidika kwa kupitia mgongo wa mwanae, ila bado nasimama na yeye nahisi hakufanya hayo yote ya kumlipia mtoto na kumtunza sababu aliamini mtoto si wake, sasa kilichomtoa huko mafichoni ni nini kama maisha yako yote unaamini mtoto si wako?....Ngoja tuendelee kutunga matukio 🤣 🤣 🤣 🤣
Maisha ya sasa watu wanaweka pesa mbele,Anakua na uelewa na ushirikiano na welfare ya mwanamke anayempenda ikiwemo mambo ya imani na jamii
Mama d hakika utamalz bando waache bhnTuko duniani kujitenga tena yasiyokatazwa kisheria sio rahisi😂
Mchawi pesa au sio.. 🤗🤗Wanaume watafute pesa wajenge familia na wawe committed kwa wenza wao haya mambo yatapungua
Natumia halotel na Vodacom kwanz ebu ukuje pm ndioo kwa kujadil haya mamboTTCL hawajakuunganisha kwenye fiber?
1 Month internet package - unlimited
Nipe namba nikuunge😂😂😂
Sifikilii kupata mke msumbufu kwa sababu najua Mungu yuko upande wangu.Kwa majasho yenu tule
Ukienda na Mungu mengine yote yatasimamiwa naeSifikilii kupata mke msumbufu kwa sababu najua Mungu yuko upande wangu.
But swala la kupata Mume bora wanawake kazi mnayo. hilo ndilo jarbu lenu kubwa hapa duniani.
Ukiwa mpumbavu, utaishia kuachika kama shilole.
hata kama alilipwa kwa sasa ndo hana jipya tena maana mjadala umefungwa, aliwaona wajinga kwa kumsitiri miaka 8 bt kwa sasa atajuta zaidi maana hata ile thamani alokua nayo kijamii kama baba nasibu ndo hatoipata tena.Na sidhani kama wanalipwa hizo interviews
Ata hao wakwe nao kuruhusu jamaa aishi hapo ni aibu pia.Hakuna mahali huyu Abdul alisimama kama mwanaume au baba
Kwanza kuishi kwa wakwe ambao hata mahari hujalipa ni aibu kubwa sana
Si mshaambiwa msioe?Tangu ijumaa tarehe 15 January 2021 imekua siku mbaya sana kwa bwana Abdul Jamaa aliyekua akijulikana kama baba Nasibu au Mzee Dangote.
Hii issue ya mzee Abdul itapita lakini sisi kama jamii tuna jambo kubwa sana kujifunza haswa kwenye mahusiano na hata kwenye malezi.
Kwa wale waamini wa Mungu vitabu vitakatifu vinatoa miongozo mizuri kuhusu tunavyotakiwa kuishi, na hata wale wasioamini kwa Mungu miongozo hii ni muhimu kwani ndio sheria na taratibu za kudumisha amani na nidhamu kwenye jamii.
Mungu alimuumba mwanaume kwanza kabla ya mwanamke, na alifanya hivyo akijua umuhimu wake wa kuwa hapa duniani na uwezo wake wa kubeba majukumu. Mungu alipoona amekua mpweke alimpa mwanamke ili awe msaidizi wake. Na katika maandiko pamoja na mambo mengine maandiko yanaongelea wajibu na majukumu ya mwanaume na mwanamke.
Wanaume vaeni viatu vyenu, hata kama una mwanamke anaweza kufanya baadhi ya majukumu usibweteke sababu wanawake hufanya vitu wakiwa na mapenzi ila mapenzi yakiisha hubaki kuwa fedheha kwa mwanaume.
Tumemwona mzee Abdul alivyokwisha dhalilika na anavyoendelea kudhalilika na kuumia. Huyu mzee inawezekana kabisa kwenye ujana wake alisahau nafasi yake sababu ya mapenzi tuu aliyokua anapata, akasahau kwamba mambo yanaweza kubadilika.
Yeye anadai nasibu ni mwanae kabisa bila wasiwasi wowote lakini pia ukimsikiliza utagundua utakwamba hakuwahi kubeba majukumu yake ndio maana anakosa hata pa kusimama walau kuutetea utu wake tuu. Mambo yamemuwia magumu sababu hajawahi simama kwenye nafasi yake kama baba au mume kijamii wala kiimani
1.Hakuwahi kumuoa mama Nasib kwa kufuata taratibu zozote za anasema, za kiserikali au za kimila. Kwa maana ya taratibu huyu mwanamke hajawahi kuwa mke wake kitu ambacho kilipelekea kuzaa
~Hapakua na makubaliano
2.Mzee Abdul Jumaa kama mwanaume hakuwahi kumiliki makazi akamchukua mama Nasib na kuishi nae ndani kama familia. Anasema yeye alihamia nyumbani kwao mama nasib, nyumba aliyokua wanaishi wazazi wa mama nasib pamoja na ndugu zake wengine
~Kuishi ukweni hata kama umeoa ni fedheha kubwa sana kwa mwanaume. Sasa hapa huyu kijana wa zamani alikosea sana maana hata hakuwa ukweni, hakuwa ameoa wala kulipa mahari
3.Mzee Abdul anasema kisa cha kutengana ni kwamba mama Nasib alitoka akaenda kwa mwanaume mwingine hadi saa nane ya usiku akawa hajarudi
~Akufukuzae hakuambii toka. Hii familia walimchoka wakamuona mzigo sababu anaishi kwao, ndio maana mama nasib akawa na guts za kwenda huko anakosemekana kwenda ili jamaa aondoke
4.Baada ya kuondoka Mzee Abdul anasema hakuwahi kurudi wala kuwasliana na mama Nasib wala nasib hadi alipoanza kupa umaarufu
~Hii ni wazi kwamba mzee yalimfika hapaaa!!! Na kwakua hakuacha kitu (mke wala mtoto wa damu) haikua shida kwake kuwacancel na kuendelea na shughuli zake.... bila kujua kwamba na wao wamemcancel na kuendelea na mambo yao
Baada ya Nasib kupata umaarufu mzee Abdul alianza kurudi sababu anajua wazi nasib ameshakua maarufu na anatumia jina lake hakuna ambaye angeweza kumzuia... Mama nasib alivumilia sababu ya mwanae lakini anavyodai alikua akimwambia "wewe ulikataa majukumu....mtoto ungemtunza angekua wako..." Ila mzee Abdul aliendelea kukomaa na medias hadi yakatokea yaliyotokea.
Maskini hakujua wanawake wakibadilika wanabadilika jumla, hawajali aibu wala fedheha! Sasa mzee Abdul ataingia kwenye phase2 ya aibu kama DNA itafanyika japo yeye mwenyewe ameshagomea DNA kwa madai kwamba mtoto hagombewi!
Wanaume wanawake ni watu wazuri na wapole sana ila mnapoishi msiishie kuishi kama marafiki tuu. Waongozeni wanawake zenu kwenye imani, mila na desturi ili heshma na upendo viwe nguzo ya familia.
Binadamu sisi tuko kama tulivyo, jitahidini kuishi na sisi mkiwa wanaume maobeba majukumu yenu na mamlaka ndani ya mahusiano, familia na jamii. Mkilegea ndio tunaishia kutengeneza familia ambazo majukumu ya familia anabeba mama halafu akishayabeba yote anachukua na maamuzi nyumba inakua shubiri.
Salim Nyange RIP na mwanae Nasib Salim Nyange
View attachment 1679951