Mwanaume usikubali kuuza nafasi yako uliyopewa na Mungu kama kichwa cha familia, hata umpende mwanamke kiasi gani nafasi yako ndio heshma yako

" Braza Shamte na wewe jiandae kilichompata mamba Kiboko atakutana nacho tu hata aneng'eneke vipi!"

Ukweli atachokwa muda sio mrefu
 
Ata hao wakwe nao kuruhusu jamaa aishi hapo ni aibu pia.
Atuyaangalii makosa ya upande wa pili sababu wana mihela now.
Ilikua familia ya hivyo tuu hakuna mipaka
Mwanaume Abdul alishindwa kung'amua mapema ama nae alikua wa hivyohivyo
 
Hili Saga sikuwahi lielewa ila kwa hili bandiko lako sasa nimeelwa vyema kabisa. Wazi lazima baba u play part yako ili hata claims zako ziwe na mashiko.
 
Namlaumu mama Nasib kwa kumkubalia Abdul kuja kumnanihino nyumbani kwao. Huo ni ujinga na dharau kubwa sana kwao kama familia na hata kwa huyo Abdul japo hadi leo haoni kama hilo ni tatizo
Af anatudanganya kuwa alikuwa anapita tu na Diamond hapo kwa mzee Nasib Abdul
 
Kwamba mzee alikuwa Stolowei 🀣
 
Hili Saga sikuwahi lielewa ila kwa hili bandiko lako sasa nimeelwa vyema kabisa. Wazi lazima baba u play part yako ili hata claims zako ziwe na mashiko.
Extrovert kama extrovert ujikute tuu umebeba nguo zako na kuhamia nyumbani kwao gelofriend wako, tena nyumba anayoishi na wazazi wake na dada zake!

Najiuliza hata hizo nguvu za kupasua vitendea kazi alikua anazipataje ukweni....Mfyuuuu
 
Hahahah hio ngumu sana kwa kweli.
 
Namlaumu mama Nasib kwa kumkubalia Abdul kuja kumnanihino nyumbani kwao. Huo ni ujinga na dharau kubwa sana kwao kama familia na hata kwa huyo Abdul japo hadi leo haoni kama hilo ni tatizo
Kumbe ndo maana kuna picha mzee Abdul anaonekana mwenye furaha sana.
Maana ni fahari isiyokifani kumnanihino demu/mke nyumbani kwao. Sasa nyumba yenyewe iwe ya kifamilia na isiyo na dari. Kila siku unatoa shoo ya kibabe mida ya kulala na alfajiri unatoa morning glory. Asubuhi ukiamka unajiona kidume haswa!
 
Kwamba mzee Abdul alikuwa akiishi kwa wakwe? Then I rest my case![emoji2307][emoji2307][emoji2307]
 
Kwamba mzee Abdul alikuwa akiishi kwa wakwe? Then I rest my case![emoji2307][emoji2307][emoji2307]
Kwa wakwe tena nyumba zetu za kiswahili..... halafu hata hana habari anapiga vyombo hadi mipira inapasuka. Na anathubu kuhadithiaπŸ™„πŸ™„
 
Anataka kuhalisha kutokuwajibika kwa Abdul.
Ingekua miaka hii angeitwa mario
Mbona wameshaanza kujitetea mda sanaπŸ˜…πŸ˜…
Umesahau zile kauli za kuwa wanawake wanapenda fweza..mdogomdogo nafikiri watafika kwa mzee Abdu
 
Mbona wameshaanza kujitetea mda sanaπŸ˜…πŸ˜…
Umesahau zile kauli za kuwa wanawake wanapenda fweza..mdogomdogo nafikiri watafika kwa mzee Abdu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
nimecheka sana hahahahaaa

Wale wanaolalamika kwamba wanawake wanapenda fweza kwanza kabisa ijulikane ni wale wasiotunza wanawake wao bila kukumbushwa.... Nina uhakika hawajui wao ni kina nani na walipewa majukumu gani kiimani na kiasili

Ila Chakorii tuache utani hakuna mwanaume au mume mwenye raha na amani kama yule anayetimiza wajibu wake bila kukumbushwa na kuombwa
 
"Kwa wale waamini wa Mungu vitabu vitakatifu vinatoa miongozo mizuri kuhusu tunavyotakiwa kuishi, na hata wale wasioamini kwa Mungu miongozo hii ni muhimu kwani ndio sheria na taratibu za kudumisha amani na nidhamu kwenye jamii"

Umemaliza mama D

πŸ‘πŸ½
 
Kwa wazazi na walezi Mungu atupe busara ya kuweza kukuza vijana wa Kizazi kijacho.
Ni hatari sana familia na jamii inapokosa kiongozi na msimamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…