marisi schwein
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 1,037
- 3,146
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini mke mwema anapatikana kwenye mitandao! Niulize ni kwanini? Nitakuuliza naswali machache mathalani kuwa huyo mke mwema amekosa mme mwema kwenye physical world anayoishi kuanzia kwa waamini wenzie, majirani, wafanyakazi wenzake hata kupigiwa upatu na wazee wanaomfahamu kwa vijana wao? Huwezi kuwa na tabia njema ukakosa mke/mme mwema kwenye mazingira yanayokuzunguka. Ngoja lijichanganye jitu lipigwe za uso. Mimi simo!