Mwanaume wa kiislamu aliye tayari kuwa rafiki, mchumba hatimaye mume

Mwanaume wa kiislamu aliye tayari kuwa rafiki, mchumba hatimaye mume

Asalam aleykum

Nimekuwa single kwa mda mrefu nimeona sasa ni muda sahihi kuwa na familia Sihitaji Mtu wa kusumbuana nae tena

Nahitaji mwanaume wa kuanzisha nae familia mwenye uhitaji navigezo ninavyohitaji naamini Kuna wanaume wema wenye uhitaji

Sifa za mwanaume.
-Muislam awe anafanya ibada kama hafanyi awe tayari kufanya ibada
-miaka 31 Hadi 35
-mwanaume anaejua na anauishi uanaume wake
-awe na utayari wa kuwa na familia
-awe na shughuli halali akiwa muajiriwa itapendeza zaidi

Sifa zangu
-Mjasiriàmali pia elimu kidato cha nne
-miaka 27 mwaka huu Dec natimiza 28
-ninafanya ibada
-sinamtoto
-sijawahi kuolewa pia



Nyongeza
Nahitaji Mtu serious na mwenye uelewa kuwa mume ni nataka kuwa mke mzuri na mwema na mama mzuri wa watoto wangu tuishi wa kuzingatia wajibu wa Kila mmoja kwa mwenzie
Nawakaribisha PM wenye vigezo kama hauna naomba usije
Nawatakia Ramadhani kareem
It means Bikra zote mbili zipo?
 
Hiyo sifa moja inayowapagawisha vijana wa Sasa mbona hujaitaja?
 
Mdogo mdogo tu ,mwisho wasiku utasema unataka yeyote ilimradi awe anapumua[emoji23]
 
miaka 28 !! je ulishawahi pata mimba ukatoa ..? maana kwa miaka yako mbususu ishapiga mechi nyingi sana na mtoto huna daah... miaka 28 kwa mwanamke ni sawa na maji ya jioni

noamba jibu na uje na hoja
usiseme hvyo mkuu , sitaki kujisifia . Kuwa na umri huo haimanish k imetumika sana .
 
usiseme hvyo mkuu , sitaki kujisifia . Kuwa na umri huo haimanish k imetumika sana .
Sasa wataka kujitetea nini tena? 28 lazima sio chini ya njemba tano zimeonja mbususu
 
hehehehe labda nakaa single muda mrefu pia .. Ukikaa hivyo inabana balaa
Hamna mwanamke mzuri mwenye tabia nzuri akakaa single sana msitudanganye hapa🤣🤣🤣🤣
Mwanamke 28 alaishatombwer na wanaume wasiopungua 5
 
usiseme hvyo mkuu , sitaki kujisifia . Kuwa na umri huo haimanish k imetumika sana .
mkuu kwa mwanamke akiwa na umri kuanzia miaka 25 kuendelea nina uhakika kabisa first eleven [ wanaume kumi na moja ] kafikisha hilo halina ubishi

sasa hapo hiyo itakuwa mbususu au pombe ya ngomani
 
Back
Top Bottom