Mwanaume wa kiislamu aliye tayari kuwa rafiki, mchumba hatimaye mume

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini mke mwema anapatikana kwenye mitandao! Niulize ni kwanini? Nitakuuliza naswali machache mathalani kuwa huyo mke mwema amekosa mme mwema kwenye physical world anayoishi kuanzia kwa waamini wenzie, majirani, wafanyakazi wenzake hata kupigiwa upatu na wazee wanaomfahamu kwa vijana wao? Huwezi kuwa na tabia njema ukakosa mke/mme mwema kwenye mazingira yanayokuzunguka. Ngoja lijichanganye jitu lipigwe za uso. Mimi simo!
 
Tawile hakuna mke mwema ama mume mwema mtandaoni.
 
Mimi ni mlutherani nipo tayari , kukupenda na kukutunza Maisha yangu yote, dini na mapenzi havina uhusiano kama umenipenda Mimi na moyo wangu wa upendo niliozaliwa nao tamka hapa hadharani na sio inbox
 
Mwenyezi Mungu awe nawe!
Umri limekuwa tatizo kwangu.
Vinginevyo......!
 
Ongeza na kwamba awe tayari kukaguliwa marinda kama mazima!
 
Ushimen mke si huyu sasa?
 
Kila la kheri
 
Ndugu zangu waislam mnakwama wapi sasa!

Aaliyyah hii imekaa vizuri, mfungo ukiisha kazi ni moja tu, vijana ma-ostaath naamini wapo wa kutosha kabisa🤣
Mmeamua kuniandama sio 😀😀Mimi Bado nakula ugali hapa home ndo kwanza wanavuna mahindi😀
 
Afrika kwa utahira hatujambo,hivi dini uliyoletewa na mkoloni wako unafanyaje iwe kikwazo katika mambo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…