Mwanaume wa kiislamu aliye tayari kuwa rafiki, mchumba hatimaye mume

Hivyo vigezo vyenu ndiyo huwa vinawafanya mnakosa ndoa, wewe kama unataka mpenzi sema tu aliyetayari kukupenda aje PM, sio unaweka vipengele kibao, alokwambia kama umri ndo mapenzi nani?, mimi sina hiyo miaka 31 lakini nakuhitaji, naomba nisikilizwe
 
miaka 28 !! je ulishawahi pata mimba ukatoa ..? maana kwa miaka yako mbususu ishapiga mechi nyingi sana na mtoto huna daah... miaka 28 kwa mwanamke ni sawa na maji ya jioni

noamba jibu na uje na hoja
HAHAHAHA
 
Allah akupe mume mwema, dada yangu.
 
Upo tayari kuwa mke wa pili,wa tatu au wa nne?
 
Kama hajapata mwenye sifa je. Yaani nyinyi wanaume mnachagua anayefaa ajabu mnataka madem wao wasichague wazoe tu hata kama jitu levi
ninachotaka kusema kwa umri wake ni ngumu kumpata mtu muaminifu lakini sio kama haiwezekani ila namba zake ni kubwa Engine ishamwaga sana oil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…