Mwanaume wa kisukuma ni bora zaidi…

Kheee..!! umejuwaje bwana Bill ?
😂😂😂
Najitambua, kutokana na uzoefu wa maisha yangu mwenyewe.

Upande mwingine, akikupenda upendeke kweli kweli na uwe na nidhamu kwa mume utakula mema ya nchi, Vinginevyo, hiiiiii!!!
 
🤣🤣Hiii
 
Hivi yule aliyepewanga nchi nchi fuani huko bara la mbali hakuwa msukuma?
Hivi unaweza kuwa katili lakini mwenye upendo?, maana huyo mkuu wa hiyo nchi alikuwa Katili hatari,
au akiongoza familia anakuwa na full of love na sio katili?
 
🤣🤣🤣🤣Yule jamaa bhana🤭
 
Wasukuma huwajui vizuri.
Mahusiano yanahitaji afya ya Akili.

Angalia matukio ya kikatili yanayotokea hapa nchini kisha fuatilia mengi yanatokea wapi.
Sawa mkuu,nimepata majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…