Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mbona matus tena bossMzenge nini?
Kila raheli katk kudumisha upendoAu kuna mwanaume mwingine uko katumiwa tujuane tulio pata wanawake wa hivi huyu si nione anaoneka sio kama wengine wa jf
View attachment 3236520
Mbona unaficha kakutumia sh ngapAu kuna mwanaume mwingine uko katumiwa tujuane tulio pata wanawake wa hivi huyu si nione anaoneka sio kama wengine wa jf
View attachment 3236520
Wao na wao mbn huomba wanaume kama Ivo kila mtu ashinde mechi zakeππTabia ya kuomba hela kwa wanawake ikome
Bimkubwa sijaombaTabia ya kuomba hela kwa wanawake ikome
Mitishamba ipo ukimwi hakunaNiwakumbushe tuu!Msaada wa dawa umesitishwa..
We jua imetoka kwa mwanamkeMbona unaficha kakutumia sh ngap
πKila raheli katk kudumisha upendo
Anapigwa chiniSasa buku mbili ya vocha unaona umeweza?? Subiri siku akupige mzinga yeye ndio utabweda
Rejesho la 2K baada ya kutoa 750K eti kaona anapendwa .Sasa buku mbili ya vocha unaona umeweza?? Subiri siku akupige mzinga yeye ndio utabweda
Dont take serious issuesUtoto mwingi sana humu JF ya siku hizi.
Sawa bwana!!!We jua imetoka kwa mwanamke