Mwanaume wa kwanza kutumiwa pesa na mwanamke ni mimi siku ya valentine 💌

Mwanaume wa kwanza kutumiwa pesa na mwanamke ni mimi siku ya valentine 💌

Wewe kama mwanaume usijivunie kutumiwa hela na mwanamke. Labda km unamlilia shida, ila Hilo sii jambo la kujivunia kabisa mkuu
Sijajivunia ila nimeshanga mkuu sikutegemea maana nilipokea simu nikajua hapa kibomu
 
Umetumiwa kiasi gani
Kwa taarifa hiyo lazima irudi na hutojua kama umeorudisha😅😅😅
Ishi nao kwa akili🤣🤣
NajuA kabisa itarudi kanikopesha
 
Back
Top Bottom