Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
๐๐Rejesho la 2K baada ya kutoa 750K eti kaona anapendwa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐Rejesho la 2K baada ya kutoa 750K eti kaona anapendwa .
Kasema ni injoy siku hiiunapokea pesa ya binti ya kazi gani ndugu
Ni kweli kabisa, mimi mwenyewe nimetumiwa. Ila najua ni Investment imefanywa nitakuja kulipa mara 2 au zaidi.Sasa buku mbili ya vocha unaona umeweza?? Subiri siku akupige mzinga yeye ndio utabweda
Ndio ushangae nawewe ๐๐๐๐Rejesho la 2K baada ya kutoa 750K eti kaona anapendwa .
Kaka siku moja moja sio mbayaNi kweli kabisa, mimi mwenyewe nimetumiwa. Ila najua ni Investment imefanywa nitakuja kulipa mara 2.
mrudishie hiyo ni kebeiKasema ni injoy siku hii
Sasa 2k ndo unainjoy nini ๐๐๐Kasema ni injoy siku hii
Kumbe unalielewa hilo eeNi kweli kabisa, mimi mwenyewe nimetumiwa. Ila najua ni Investment imefanywa nitakuja kulipa mara 2.
Turingishie tu bwashee! Ila usisahau malipo yake ni Im%Au kuna mwanaume mwingine uko katumiwa tujuane tulio pata wanawake wa hivi huyu si nione anaoneka sio kama wengine wa jf
View attachment 3236520
kumbe kamtumia elfu mbili huyo binti kamuona mlevi niniSasa 2k ndo unainjoy nini ๐๐๐
Itakuwa!!!kumbe kamtumia elfu mbili huyo binti kamuona mlevi nini
Sawa mkuumrudishie hiyo ni kebei
ni sawa na kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke
Ahahah nauli ya kutoka makumbusho mpaka post kwenda kushangaa mjiSasa 2k ndo unainjoy nini ๐๐๐
๐๐ tutalipa tutafanyajeTuringishie tu bwashee! Ila usisahau malipo yake ni Im%
Soma apo ๐๐ kwahy ni weww?Acha zako asubuhi ya leo nimepewa hela kabla yako! Me ilikuwa statu wewe sangapi?
Afu chenji unafanyia niniAhahah nauli ya kutoka makumbusho mpaka post kwenda kushangaa mji