Mwanaume wa kwanza kutumiwa pesa na mwanamke ni mimi siku ya valentine πŸ’Œ

Umetumiwa kiasi gani
Kwa taarifa hiyo lazima irudi na hutojua kama umeorudishaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ishi nao kwa akili🀣🀣
 
Wewe kama mwanaume usijivunie kutumiwa hela na mwanamke. Labda km unamlilia shida, ila Hilo sii jambo la kujivunia kabisa mkuu
Sijajivunia ila nimeshanga mkuu sikutegemea maana nilipokea simu nikajua hapa kibomu
 
Umetumiwa kiasi gani
Kwa taarifa hiyo lazima irudi na hutojua kama umeorudishaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ishi nao kwa akili🀣🀣
NajuA kabisa itarudi kanikopesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…