Mwanaume wewe ni mtu muhimu na wa thamani sana

Mwanaume wewe ni mtu muhimu na wa thamani sana

Na hivi sikukuu na njanuary inakaribia kwakweli wabarikiwe sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na hivi sikukuu na njanuary inakaribia kwakweli wabarikiwe sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eeeh inakaribia na wanaume washakamilisha maandalizi yake🙏
 
Namba ya huyo dada tafadhali...
 
Mama D katika ubora wake, bora leo umewakumbuka wabeba majukumu.
 
Kuna mtu anawekwa sawa ili aendelee kuhenyeka, tumelijua hili...sasa ni 50/50 tu[emoji23]
 
Natumia fursa hi pia kutakia mke wangu bonge na mabonge wengine ijuuma kareem, tumawapenda sanaa, japo mnakua wazito kwenye 6×6 ila tunawapenda sana tulisha kubaliana na hali zenu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] twasema twashukur
 
Na hivi sikukuu na njanuary inakaribia kwakweli wabarikiwe sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni njanuary kwakwel tunabid tuwe na upendo wa hali ya juu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni njanuary kwakwel tunabid tuwe na upendo wa hali ya juu

Majukumu, upendo, thamani na nafasi ya mwanaume kwa mwanamke na familia ni ya kila siku hayaji njanuary peke yake

Wanaume wanaelewa hili vizuri
 
Nawatakia ijumaa njema kwenu wanaume wote wabeba majukumu ya uanaume, watufataji, wenye upendo na huruma.

Mjue tuu nyie ni wa thamani sana

Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na yenye amani na furaha tele. Amani yenu ndio furaha yetu
Kongole..
Huyo mnenaji ana hekima flani ambayo inakosekana kwa KE wengi !
 
Majukumu, upendo, thamani na nafasi ya mwanaume kwa mwanamke na familia ni ya kila siku hayaji njanuary peke yake

Wanaume wanaelewa hili vizuri
Wanaelewa ila wanahitaj support kutoka kwetu wanawake kutambua changamoto wanazopitia, kuwapa moyo, kuwahurumia, kushukuru kwa wanayotufanyia na kuwa wabunifu katika nyanja mbalimbali hasa kwenye upishi na kitandani. Ila wanavunjika moyo kwasisi kuzidisha lawama na kuwatangaza madhaifu yao hapo ndio hubadilika na kuwa viumbe wa ajabu
 
Back
Top Bottom