Kaongea ukweli ingawa sio wote wenye kutekeleza majukum yaoKongole..
Huyo mnenaji ana hekima flani ambayo inakosekana kwa KE wengi !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaongea ukweli ingawa sio wote wenye kutekeleza majukum yaoKongole..
Huyo mnenaji ana hekima flani ambayo inakosekana kwa KE wengi !
Wanaelewa ila wanahitaj support kutoka kwetu wanawake kutambua changamoto wanazopitia, kuwapa moyo, kuwahurumia, kushukuru kwa wanayotufanyia na kuwa wabunifu katika nyanja mbalimbali hasa kwenye upishi na kitandani. Ila wanavunjika moyo kwasisi kuzidisha lawama na kuwatangaza madhaifu yao hapo ndio hubadilika na kuwa viumbe wa ajabu
Hiyo akili ya kuishi na mtesaji inauzwa duka gani?Mmekuja na gia mpya Sasa..
We are important ila ndo wanatupiga na vitu vizito kisogoni..[emoji23]
Anyway but nimependa ushauri wa tule vizuri, mazoezi na tuvae vyema,tutafute na hela ila Kuna wadada wanakutesa hata ukiwa na hivyo vyote I mean unateswa wewe na hela zako, kula yako,mazoezi yako na ndevu zako!
Tuishi nao kwa akili tu.
Kwakwel wacha tuwapongez kwa kutuvumilia, kutuheshim, kututunzia madhaifu yetu wanatufanya tuone dunia tuione yenye faida kwetu hivyo hatunabudi kuwashukuru saana tu hata tuwe napesa vipi ila bado wao wananafac kubwa kweny maisha yetu na sisi pia tunanafac kubwa kweny maisha yao.Leo tumewapongeza hapa, na tumesema wazi kwamba wao ni wa muhimu sana na wana thamani kubwa sana kwetu
Ukweli ni kwamba hatujakamilika bila wao kama ambavyo hawajakamilika bila sisi. Vipo vitu tunavyoweza kuvipata au kuvifanya wenyewe lakini havina thamani wala furaha kama wakitufanyia wao[emoji2][emoji2]
Tunawapenda sana kwakweli
Nani kasema,Mke wako hawezi kukuliza[emoji95][emoji188][emoji188][emoji188]
Aaah kabisa[emoji1787][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni njanuary kwakwel tunabid tuwe na upendo wa hali ya juu
Kwakweli am thankfully KingsmannKwakwel wacha tuwapongez kwa kutuvumilia, kutuheshim, kututunzia madhaifu yetu wanatufanya tuone dunia tuione yenye faida kwetu hivyo hatunabudi kuwashukuru saana tu hata tuwe napesa vipi ila bado wao wananafac kubwa kweny maisha yetu na sisi pia tunanafac kubwa kweny maisha yao.
Hivyo tuishi kwa kufurahiana nakukumbushan mazur yetu sabab maisha yetu nimafupi saana tunahitajika kutengeneza historia nzur ili tuendlee kukumbukana
Kweli sikukuu zimekaribiaNawatakia ijumaa njema kwenu wanaume wote wabeba majukumu ya uanaume, watufataji, wenye upendo na huruma.
Mjue tuu nyie ni wa thamani sana
Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na yenye amani na furaha tele. Amani yenu ndio furaha yetu
Kweli sikukuu zimekaribia