Mwanaume wewe ni mtu muhimu na wa thamani sana

Nikajua labda hyo huruma yko kwetu Kuna ka bomu unataka umfyatue shemeji kwa ajili ya vimiminika mana Leo weekend na graduation ceremony ni nyiiiiingiiiii[emoji3][emoji3][emoji3]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na hivi sikukuu na njanuary inakaribia kwakweli wabarikiwe sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na hivi sikukuu na njanuary inakaribia kwakweli wabarikiwe sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eeeh inakaribia na wanaume washakamilisha maandalizi yakeπŸ™
 
Namba ya huyo dada tafadhali...
 
Mama D katika ubora wake, bora leo umewakumbuka wabeba majukumu.
 
Kuna mtu anawekwa sawa ili aendelee kuhenyeka, tumelijua hili...sasa ni 50/50 tu[emoji23]
 
Natumia fursa hi pia kutakia mke wangu bonge na mabonge wengine ijuuma kareem, tumawapenda sanaa, japo mnakua wazito kwenye 6Γ—6 ila tunawapenda sana tulisha kubaliana na hali zenu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] twasema twashukur
 
Na hivi sikukuu na njanuary inakaribia kwakweli wabarikiwe sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni njanuary kwakwel tunabid tuwe na upendo wa hali ya juu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni njanuary kwakwel tunabid tuwe na upendo wa hali ya juu

Majukumu, upendo, thamani na nafasi ya mwanaume kwa mwanamke na familia ni ya kila siku hayaji njanuary peke yake

Wanaume wanaelewa hili vizuri
 
Kongole..
Huyo mnenaji ana hekima flani ambayo inakosekana kwa KE wengi !
 
Majukumu, upendo, thamani na nafasi ya mwanaume kwa mwanamke na familia ni ya kila siku hayaji njanuary peke yake

Wanaume wanaelewa hili vizuri
Wanaelewa ila wanahitaj support kutoka kwetu wanawake kutambua changamoto wanazopitia, kuwapa moyo, kuwahurumia, kushukuru kwa wanayotufanyia na kuwa wabunifu katika nyanja mbalimbali hasa kwenye upishi na kitandani. Ila wanavunjika moyo kwasisi kuzidisha lawama na kuwatangaza madhaifu yao hapo ndio hubadilika na kuwa viumbe wa ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…