Mwanaume wewe ni mtu muhimu na wa thamani sana

Mobeyo anafanya nini nchini??
Hebu huyu dada kabla ya christmass ajengewe sanamu na kupewa ulinzi haraka iwezekanvyo.

Japo ni style mpya ya upigaji ila walau inang'ata huku inapuliza 😂😂😂
 


Leo tumewapongeza hapa, na tumesema wazi kwamba wao ni wa muhimu sana na wana thamani kubwa sana kwetu

Ukweli ni kwamba hatujakamilika bila wao kama ambavyo hawajakamilika bila sisi. Vipo vitu tunavyoweza kuvipata au kuvifanya wenyewe lakini havina thamani wala furaha kama wakitufanyia wao😃😃

Tunawapenda sana kwakweli
 
Hiyo akili ya kuishi na mtesaji inauzwa duka gani?
 
asante dada tunashkuru kwa kutambua mapambano yetu
 
Kwakwel wacha tuwapongez kwa kutuvumilia, kutuheshim, kututunzia madhaifu yetu wanatufanya tuone dunia tuione yenye faida kwetu hivyo hatunabudi kuwashukuru saana tu hata tuwe napesa vipi ila bado wao wananafac kubwa kweny maisha yetu na sisi pia tunanafac kubwa kweny maisha yao.
Hivyo tuishi kwa kufurahiana nakukumbushan mazur yetu sabab maisha yetu nimafupi saana tunahitajika kutengeneza historia nzur ili tuendlee kukumbukana
 
Kunawatu watalizwa msimu huu wa siku kuu
 
Kwakweli am thankfully Kingsmann
 
Kweli sikukuu zimekaribia
 
Kweli sikukuu zimekaribia

Sikukuu zinahusikaje hapa?

Usikute unaongelea wanaume wa msimu aka madanga na mamarioooo wakati mimi naongelea wanaume wenye ukamili wao wanaoijua thamani yao na wajibu wao kwenye ulimwengu huu wakiwamo waume zetu, baba zetu, uncles, na wanaume marafiki zetu

Mwanaume ni muhimu na wa thamani wakati wote na mahali popote
 
Bila wao To yeye mimi nisingetungishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…