Mwandambo: Lissu anarusha mikono mahakamani kujipa matumaini. Wanaomshangilia wanamuacha, anarudi gerezani peke yake

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."

Mzee Mwandambo plz,
punguza kusema ukweli unawamiza wengi wasioupenda ukweli.

Eti huyo ndio wakili na nguli wa sheria, dah! Sasa sijui kurusha mikono ndio masharti aliyopewa na mganga wake ama lah!

maana anailazimisha furaha ingawa moyoni ana majonzi na akilini ana majuto na stress mbaya sana 🐒
 
Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."

Huyo Mwandambo anaumia sana akiona Lisu amegoma kumuabudi shetani kama yeye. Anaamani Lisu ajilegeze ili yeye asionekane mlegevu. Alitaka hao wananchi waendelee wakakae magareza kwani huko magereza unaenda kumfuata mtu unayemtaka, au unaenda kwa utaratibu? Kwani Lisu alipokuwa mbunge watu walikuwa wanaenda nyumbani kwake, au walikuwa wanaingia naye kwenye kitu cha bungeni?
 
Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."

Mwandambo toka afirwe mtungo na vijana wa Mafwele akili zimemruka kabisa sasa hivi.
 
Lakini hata kama amenunuliwa na ccm ili kuropoka ropoka honestly kuhusu suala hili amesema ukweli mtupu

Kuna wakati saa mbovu Huwa inasema ukweli , na kwenye hili mwandambo yupo sahihi 😄

Mtu yupo ndani zaidi ya miezi 8 now halafu mtu huyo ana wafuasi hao wafuasi wake wapo tu wanatazama jamaa akipelekwa na kurudi chama chake na wanachama nao wapo tu wanatizama what a shame!!!

Na bado wanaamini kwamba haki itapatikana How !? !!!
 
"Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake."
Aangalie naye asijekuunganishwa kwenye seditious case...kwamba ana provock watu wavunje sheria!!!
 
Msaidieni Lissu acheni kumshangilia kinafiki.
Kiongozi wako yupo Sero ananyea debe wewe uko mtaani unakula bi, unaona hiyo ni sahihi?
Ila wewe unaejiona unafuraha unaumia.

Kwani yeye alisema mumkamate na mumfungulie kesi kama imewashimda hiyo kesi kinachowafanya bado mkae na kesi ni kitu gani?

Ndio maana ccm haitakuwa na uwezo wa kujibu hoja za Lissu. Pona yenu ni hizo nguvu za dola.
 
Ukweli unauma , wenzie wanaenda kupiga pesa , huku mwenzao anakaza kishamba .
 
Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."

Huyu ameshanajisika Hadi akili
Msimzingatie sana
 
Huyu Mwandambo ni mpuuzi mwingine. Toka alipondendewa kinyume na akina MAFWELE akili bado haijarudi sawasawa.
 
Back
Top Bottom