Mwandambo: Lissu anarusha mikono mahakamani kujipa matumaini. Wanaomshangilia wanamuacha, anarudi gerezani peke yake

Mwandambo: Lissu anarusha mikono mahakamani kujipa matumaini. Wanaomshangilia wanamuacha, anarudi gerezani peke yake

Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."


Walimla kinyeo masikini amekuwa poyoyo....hana tena marinda anatia huruma....afadhali hata angepata mapene lakini khaaaa watu wabaya sanaa mtu mzima vile mmelawitii khaaaa
 
Back
Top Bottom