Mwandambo: Lissu anarusha mikono mahakamani kujipa matumaini. Wanaomshangilia wanamuacha, anarudi gerezani peke yake

Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."

Kumbe huyu mzee ni snitch kiasi hiki
 
Lakini hata kama amenunuliwa na ccm ili kuropoka ropoka honestly kuhusu suala hili amesema ukweli mtupu

Kuna wakati saa mbovu Huwa inasema ukweli , na kwenye hili mwandambo yupo sahihi 😄

Mtu yupo ndani zaidi ya miezi 8 now halafu mtu huyo ana wafuasi hao wafuasi wake wapo tu wanatazama jamaa akipelekwa na kurudi chama chake na wanachama nao wapo tu wanatizama what a shame!!!

Na bado wanaamini kwamba haki itapatikana How !? !!!
Ulitaka wavamie mahabusu wamtoe kwa nguvu...?
 
Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."

Huu ni uthibitisho kuwa ukiwa ccm au mtetezi wa serikali ni lazima uwe tofauti na walio wengi!
 
Msaidieni Lissu acheni kumshangilia kinafiki.
Kiongozi wako yupo Sero ananyea debe wewe uko mtaani unakula bi, unaona hiyo ni sahihi?
Ila wewe unaejiona unafuraha unaumia.

Kwani yeye alisema mumkamate na mumfungulie kesi kama imewashimda hiyo kesi kinachowafanya bado mkae na kesi ni kitu gani?

Ndio maana ccm haitakuwa na uwezo wa kujibu hoja za Lissu. Pona yenu ni hizo nguvu za dola
Heshima ni kitu cha Bure mkuu, mimi siyo ccm naomba tuheshimiane
Nimekuvunjia heshima wapi?
 
Ila wewe unaejiona unafuraha unaumia.

Kwani yeye alisema mumkamate na mumfungulie kesi kama imewashimda hiyo kesi kinachowafanya bado mkae na kesi ni kitu gani?

Ndio maana ccm haitakuwa na uwezo wa kujibu hoja za Lissu. Pona yenu ni hizo nguvu za dola

Nimekuvunjia heshima wapi?
Unaniita Ccm umenipa kadi ya uwanachama?
 
Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."

Huyu inabidi siku ya maandamano waanzie nyumbaani kwake waruke nae kwanza
 
🤣 Bwege
downloadfile-15.jpg

Waliona boga hili.
 
Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."

Mwandambo tangu afumuliwe "MARINDA" akili yake imehamia huko.
 
Huyo Mwandambo anaumia sana akiona Lisu amegoma kumuabudi shetani kama yeye. Anaamani Lisu ajilegeze ili yeye asionekane mlegevu. Alitaka hao wananchi waendelee wakakae magareza kwani huko magereza unaenda kumfuata mtu unayemtaka, au unaenda kwa utaratibu? Kwani Lisu alipokuwa mbunge watu walikuwa wanaenda nyumbani kwake, au walikuwa wanaingia naye kwenye kitu cha bungeni?
Japo huyo Mwandambo ni mpuuzi mwenzenu, lakini kaongea reality kidogo! Kwa sehemu kubwa waliomponza Lissu ni wapumbavu Pumbavu na washenzi kama wewe! Ungekua pamoja naye sahv ungekua Ukonga au kaburini ili kuthibitisha yaliyoko Moyoni mwako! Lakini ni mwanaharakati uliyejaa utoto mwingi na upumbavu!! Endea kuzini na kulewa huku ukiandika uduanzi humu mwenzio anaumia!! Pathetic fool!
 
Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."

Kwanini unatuletea habari za huyu SHOGA? Kwanini unachochea tabia hiyo?
 
Lakini hata kama amenunuliwa na ccm ili kuropoka ropoka honestly kuhusu suala hili amesema ukweli mtupu

Kuna wakati saa mbovu Huwa inasema ukweli , na kwenye hili mwandambo yupo sahihi 😄

Mtu yupo ndani zaidi ya miezi 8 now halafu mtu huyo ana wafuasi hao wafuasi wake wapo tu wanatazama jamaa akipelekwa na kurudi chama chake na wanachama nao wapo tu wanatizama what a shame!!!

Na bado wanaamini kwamba haki itapatikana How !? !!!

..sasa yeye Mwandambo ambaye sio mnafiki kwanini hamsaidii Tundu Lissu?

..Mwandambo amekosea kuwatusi wanaomshangilia na kumuunga mkono Tundu Lissu, mtu asiye na hatia.
 
Lakini hata kama amenunuliwa na ccm ili kuropoka ropoka honestly kuhusu suala hili amesema ukweli mtupu

Kuna wakati saa mbovu Huwa inasema ukweli , na kwenye hili mwandambo yupo sahihi 😄

Mtu yupo ndani zaidi ya miezi 8 now halafu mtu huyo ana wafuasi hao wafuasi wake wapo tu wanatazama jamaa akipelekwa na kurudi chama chake na wanachama nao wapo tu wanatizama what a shame!!!

Na bado wanaamini kwamba haki itapatikana How !? !!!
Wewe ulitaka watu watu wafanyeje?

Kule kujaa mahakamani namna ile ni ishara ya mshikamano na kuonesha kumuunga mkono.

Kusema 'wamemwangalia tu anarudi gerezani peke yake' kwa ishu kama hiyo ni utoto, ulitakawafanye fujo au waambatane naye kwenda Ukonga?
 
Back
Top Bottom