Preciousvision
JF-Expert Member
- May 14, 2026
- 888
- 1,205
Ndiyo ukweli we umeona nini cha ajabu hapo? Kwani mtu huwa anarudi naye?Wakuu,
Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.
"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.
Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."