Mwandambo: Lissu anarusha mikono mahakamani kujipa matumaini. Wanaomshangilia wanamuacha, anarudi gerezani peke yake

Lakini hata kama amenunuliwa na ccm ili kuropoka ropoka honestly kuhusu suala hili amesema ukweli mtupu

Kuna wakati saa mbovu Huwa inasema ukweli , na kwenye hili mwandambo yupo sahihi 😄

Mtu yupo ndani zaidi ya miezi 8 now halafu mtu huyo ana wafuasi hao wafuasi wake wapo tu wanatazama jamaa akipelekwa na kurudi chama chake na wanachama nao wapo tu wanatizama what a shame!!!

Na bado wanaamini kwamba haki itapatikana How !? !!!
Upo tayari kwa mapambano?

Au unapenda kukaa pembeni uwe mtazamaji?
 
Mwandambo ako very sarcastic,Hii Game anafahamu namna ya kuicheza.Wachache sana wanaelewa anachofanya.Wana react tu.
 
Ila wewe unaejiona unafuraha unaumia.

Kwani yeye alisema mumkamate na mumfungulie kesi kama imewashimda hiyo kesi kinachowafanya bado mkae na kesi ni kitu gani?

Ndio maana ccm haitakuwa na uwezo wa kujibu hoja za Lissu. Pona yenu ni hizo nguvu za dola.
Heshima ni kitu cha Bure mkuu, mimi siyo ccm naomba tuheshimiane
 
Lakini hata kama amenunuliwa na ccm ili kuropoka ropoka honestly kuhusu suala hili amesema ukweli mtupu

Kuna wakati saa mbovu Huwa inasema ukweli , na kwenye hili mwandambo yupo sahihi 😄

Mtu yupo ndani zaidi ya miezi 8 now halafu mtu huyo ana wafuasi hao wafuasi wake wapo tu wanatazama jamaa akipelekwa na kurudi chama chake na wanachama nao wapo tu wanatizama what a shame!!!

Na bado wanaamini kwamba haki itapatikana How !? !!!
Hela ya bia nikutumie kwenye namba Gani mkuu 👑
 
Ingekua hivo, DPP angesha declare hana interest ya kuendelea na kesi, ila They know akitoka hali itakua mbaya zaidi.
 
Lakini hata kama amenunuliwa na ccm ili kuropoka ropoka honestly kuhusu suala hili amesema ukweli mtupu

Kuna wakati saa mbovu Huwa inasema ukweli , na kwenye hili mwandambo yupo sahihi 😄

Mtu yupo ndani zaidi ya miezi 8 now halafu mtu huyo ana wafuasi hao wafuasi wake wapo tu wanatazama jamaa akipelekwa na kurudi chama chake na wanachama nao wapo tu wanatizama what a shame!!!

Na bado wanaamini kwamba haki itapatikana How !? !!!

Hyo miezi ni michache sana kwa wanaharakati.

Nelson mandela alikaa jela miaka 27.

Labda husomi historia.
 
Huna Akili kwahiyo kama nelson aliteseka so ni sawa lisu nayeye ateseke Kwa kiwango sawa na Mandela !? Mean while wafuasi wake mpo mnashindwa kufanya kitu
 
Ifike mahali msiwape jukwaa wajinga kusambaza ujinga wao.
 
Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."

Njaa na msimamo havipikiki chungu kimoja
 
Huyu itakua walimfir.ra huko jela siyo kwa hii turn back anayopiga. Atulie tu ameshaamua kuwa upande wa Serikali awache wengine waendelee na Safari.
 
Wakuu,

Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani.

"Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa. Anarusha mikono ili kujipa matumaini. Alafu mazombi yanamshangilia. Na hayo mazombi akitoka hapo yanarudi kwa wenzao, yanamwacha peke yake akiwa amekata tamaa. Anarudi mahaka... anarudi gerezani peke yake.

Hayo mazombi ni mashenzi, yako tu kumfurahisha. Ukweli ni kwamba hayo mazombi ni manafiki. Ni manafiki hata upambanaji hayana, ni maoga na mashenzi."

Siku nyingine usilete ujinga ujinga kama huu
 
Gerezani wako watu wengi sana, wema na wengine wabaya. Hujafa hujaumbika.

Anachofurahia Mwaisa ni nini sasa? Kwani Lissu amekosea nini? Mwaisa anajua kwamba aliyepoteza kwa Lissu kukaa ndani ni nani? Aliyevurugwa mpaka hajui cha kufanya ni nani?

Ukweli huwa haushikamani na uongo. Huwa unajitenga.

Hivi kama asingekuwa ndani, kama nchi tungekosa nini? Ifike mahala tuwe waangalifu nani tunaweza kumutumia kwenye kazi zinazohitaji akili na weledi. Tuanze kutafuta watu kama hao kule chekechea, shule za msing na sekondari. Tukiwaandaa vema, tutapata watu wema, wanaojua dhamana ya kulinda Taifa letu.

Kwa sasa, tunalipia gharama za kuwatumia watu kama huyo Mwaisa, kama think tank wetu.

Hana uwezo wala maarifa na akili za kumsaidia yeye mwenyewe. His cover didnt last for a week because of his incompetence. Ndio aje kumsaidia mwingine? Kazi ipo.....
 
Mtu na akili zako Unatuletea habari za Mwandambo Jf.
Hapa ni Home of Great Thinkers..

Mnajaza serva za Jamii forum Bila sababu za Msingi.

FIKICHA AKILI
 
Mnampa tu kiki huyo kichaa aliyegeuzwa msukule na CCM

Alichokiongea ndicho nayeye kashtuka kwa kuchelewa!!!

Wanafiki wapo tu kujidai wapo naww lkn ndio ivyo!!

Kama mkeo yupo tz ujue wangekuwa safari kwake azishi mpaka wale mzigo wako uko nyumbani 👈
Shemej pole shemej pole !!!!

Kumbuka Mashekh wa uhamsho!!! U
 
Back
Top Bottom