Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Tusilumbane saaana! Wengine tuna ufahamu wa kutosha sana badala ya kusubili usikie ya akina Ngurumo. Mambo ya kificho ni mengi na mengine hatuyasikii. Naomba unipe jina la huyo mtu aliyetekwa Swaziland. Halafu nitakueleza kwamba kwa mtindo huo, hata uende Ulaya utarudishwa. Unamfahamu mtu anayeitwa Mordechai Vanunu? google uone alivyorudishwa Israel kutoka Italy.
 
Huwezi kukimbia from one shithole country to another shithole country, yaani ukimbie kutoka Tanzania ukajifiche Uganda au Rwanda utakuwa na akili kweli.
Kwa hiyo shida ya Ngurumo ni usalama au maisha magumu. Wote wanaotishiwa kimbilio ni Ulaya? mAwazo mfu hayo! Unayetafuta usalama unawezaje kutamani ulaya tu! Hiyo ni sawa na mgojwa anayetamani chips kuku.
 
Yaani Ngurumo unaamini ni mtu muhimu sana ktk dunia hii kiasi alindwe kwa kupelekwa ulaya badala ya nchi zingine asikokuwa na vitisho? Mtu wenu tatizo ni maisha magumu, siyo vitisho. Hivi karibuni, utawasikia wana familia wote wakienda kumfuata.
 
New development in Tanzania.

Tutafika tu wanakotaka twende lkn wajue hata wao hawatabaki salama.
they are trying to ruin their own life and country unknowingly...this is because of the shortsightedness of their vission
 


Unataka kulinganisha Tanzania na Israel??

Nchi hata maji ya kunywa mnamwomba mwarabu mnayemtukana aje awachimbie viisima
Kwanza fuateni katiba yenu muwape watu uhuru
 
Yaani Ngurumo unaamini ni mtu muhimu sana ktk dunia hii kiasi alindwe kwa kupelekwa ulaya badala ya nchi zingine asikokuwa na vitisho? Mtu wenu tatizo ni maisha magumu, siyo vitisho. Hivi karibuni, utawasikia wana familia wote wakienda kumfuata.



Kumbe mnajua maisha magumu ni tatizo , hivi nani amesababisha nchi yenye kila rasilmali kushindwa na vijisiwa vidogo kama , Seychelles na Mauritius kama si nyinyi Lumumba??
 
Huyu jamaa nusura aukwae ubunge wa Mleba kasikazini mwaka 2015 baada ya kumtia misukosuko bwana yule lakini dah ..
 
Sirikali isiyopenda kuambiwa ukweli.
 
Huu ni uongo. Hakuna mtu wala mamlaka yoyote yanayotishia maisha ya ANSBERITI NGURUMO, mwandishi wa habari na mwana kwaya (kanisa katoliko) tunayemjua. Pengine tuseme Chadema wanatumia udanganyifu kuandaa mkakati wa kupeleka kiongozi na mwandishi wao nje ya nchi, atakayekuwa akipiga kelele za uongo akitokea huko ughaibuni. huu ni mkakati mfu pia!
 
Unataka kulinganisha Tanzania na Israel??

Nchi hata maji ya kunywa mnamwomba mwarabu mnayemtukana aje awachimbie viisima
Kwanza fuateni katiba yenu muwape watu uhuru
Nimekuuliza jina la huyo mtu unayesema aliletwa toka Swaziland. Andika ni nani? Acha hadithi za kutunga. Kama unatamani kwenda Ulaya na njia imekushinda, tangaza una maisha magumu. Acha ulongo eti natafutwa na wasiojulikana. Kuandika kwenye gazeti makara moja tena haina la maana ndo atafutwe.

Narudia tena nani alitetwa na serikali toka Swaziland. Kama huna jina acha kulopoka hadithi.
 
Nakumbuka riwaya Simu ya kifo by: Hussein Hassan Katalambula. Pole Ngurumo. Simu ya KIfo
 
Hata Kambona alikimbia nchi lakini baadae akarudi akiwa amechoka ile mbaya!! Wanafikiri ni pa zuri sana kwa wazungu!

ko unataka kunambia ni heri kufa kuliko kukimbilia kwa wazungu???!!!

sijui umesoma chuo gani??!!!
 
Reactions: AWM
Kuwa mkimbizi mnaipigia filimbi kama vile ni wa kwanza duniani.. eeeeeh

Uamuzi wake huo.. alitaka tu kwenda ulaya kuishi huko baada ya kuwa mvivu kufanya kazi kujilisha

mbona umeelezwa sababu ya yeye kukimbia??!kwann unabadilisha story?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…