Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Je huyu Ngurumo alitekwa au alipotea, alijiteka au namna gani? Maana watu wametoa mapovu mpaka mishipa ya shingo mithili ya kupasuka kumbe mtu ana mambo yake na raha zake ili mradi Sera za CDM kuonesha ubaya wa uongozi uliopo
Mmmmh Mpaka atekwe?
Sasa angetekwa angekimbiliaje huko?
 
Huwa inaletwa na uvivu wa fikra.

Kweli uvivu wa fikra ndio umeleta njaa ????, hivi kabla ya utawala wa CCM kumbe watu walikuwa wakifikiri ndio kukawa hakuna njaa ??
 
aaaaah Gavana Mkuuu!! labda ulitaka kumquote [HASHTAG]#Patriot[/HASHTAG] maana hajaelewa kwa nn mwandishi Ngurumo kajificha FINLAND na sio nearby shit hole country!!!!

Chunga usijaribu kuchumbia binti wa ngurumo utajikuta uko Coco beach 😛😛
 
Wewe sijui mama\baba huwa sikuelewagi unachondika .
 
Atafuta Kiki kifo kinakimbiwa Toka lini,kinapofika ata ulipo kinakukuta sema kaenda kwenye masilahi zaid
Kibanda ,ulimboka,Roma ,lisu ,hawa wote walikufa ??watu wengine sijui akilizenu huwa anawashikia nani ??au hamna kabisa ?
 
Weak leaks founders yupo kwenye Ecuadorian embassy’s uingereza,aje bongo huyo raia wao na sisi tumpe hifadhi kwani dawa ya moto ni moto
 
Ukitaka kuwa mtumwa wa wazungu fuata kila wanachosema wakati wao hawafanyi...jamaa yao anatoa siri zao wa weak leaks wanamtafuta daily atoke kwenye embassy ya Ecuador
 
Kwani Roma hamkumrudisha namalinda??
 
Kuwa mkimbizi mnaipigia filimbi kama vile ni wa kwanza duniani.. eeeeeh

Uamuzi wake huo.. alitaka tu kwenda ulaya kuishi huko baada ya kuwa mvivu kufanya kazi kujilisha
Tatizo kazi ya kujilisha kwa kuimba wimbo wa kumsifu mkuu wa kaya kwa kujilazimisha siyo wote wanaweza,Wengine nafsi zao haziwaruhusu kusema uongo.
 
Huyo lisu ilitakiwa aende kutoa taarifa polisi sio kwenye mitandao na press conference. Wahusika wa lisu wako hukohuko chadema ndo maana wamemkimbiza hadi dereva wake.
Ngurumo aliambiwa na mkurugenzi wa habari maelezo. kwamba unajifanya shujaa sana ila kumbuka mashujaa wote walishakufa .na alienda kutoa taarifa .jaribu kukaa kimya vitu vingine.pia usijione uko salama sana kisa uko upande wamrusha risasi .yule dogo wa nit hakuwa nachama chochote wala hakuwa kwenye maandamano .lakini alipigwa risasi zakichwa .
 
Kwa.miaka 30 watu waliishi maisha ya kuigiza, 1+1 walisema Ni 3 sasa president anasema lazima iwe mbili(2), hapo sasa. Wengi watalia sana kipindi hiki. Wataongea sana na visingizio kibao lakini ukweli uko palepale.
Yaweza kuwa ugonjwa wa red blindness hata kwenye kuona hali halisi ilivyo.Uminywaji wa Uhuru wa kujieleza wewe umeona 1+1=2.Vizuri ila likikufika usilielie
 
Nadhani huko atakuwa na amani na furaha kama Mambi Kimambi. Aidha wigo wa kuandika habari zake kwa uhuru zitapanuka. Hongera sana!
 
Definition ya ukimbizi inaeleweka vizuri au...tunaandika tu ukimbizi.
Still Tanzania is the best place to live ever seen
Hat somalia kuna watu ambao wanapaona is the best place to live. Kwa ww ambae una kadi yako ya kijan na kwa cku una buku saba mkonon hakuna shda kwako
 
Kuwa mkimbizi mnaipigia filimbi kama vile ni wa kwanza duniani.. eeeeeh

Uamuzi wake huo.. alitaka tu kwenda ulaya kuishi huko baada ya kuwa mvivu kufanya kazi kujilisha
Mbwa koko katika ubora wake
 
Tizama kijana wa Lumumba alivyo mvivu baada ya kutupiwa buku 7 anakuja kututapikia humu. Kwa faida ya wengine Gonga hapo

Ludovick Mwijage: The Dark Side of Nyerere's Legacy
Dogo! Kama elimu ni kunyonya kila unachokisoma basi ndo maana 'thinking' yako iko chini. maelezo haya nimeyaomba kwako mara nyingi tu baada ya kuona mchango wako kwenye thread hii. Imekuchukuwa majibizano marefu, takribani messages 4 kabla hujanionyesha ulipochota maelezo kama hayo.

Now that I have read the document, I am discovering; you just picked a story written by an authenticated person. How can you convince any mentally fit person, a person with sound mind, of this being an evidence to be referred to, quote whatever included, ending up at JF in a struggle to substantiate your statement. This is part of your grave stupidity.

Have you explored of this person's whereabouts? Mwijage's story was narrated way back in the 1980s in a different approach from what you stupidly tries to twist and analogize that past incidence to this, current, stupid oldman, not even a politician, who looks a way out to Europe! Can you be clever enough to synthesize Ngurumos motive? Jamaa maisha ya bongo yamebana na uonavyo anasimulia kuhifadhiwa ulaya kwa majivuno ya mtu aliyeukata! nahisi nawe umepumbazika na tamaa ya kuhifadhiwa.
 
Atamani kuja kuzikwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…