Kuna Uzi mwingine juu ya hili lakini mimi najiuliza nini kinamsumbua mtu anakwenda ulaya badala ya kuokoa maisha yake kwa kuvuka mpaka na kwenda Kenya, Zambia, Malawi, Uganda na hata akipenda Namibia? Wapo wengi wanaotamani wasifiwe na ulaya. Ni tamaa ya kuishi ulaya kwa pesa ya jamii. Baadaye ataomba na familia iende, halafu sisi tunasema eti yuko hatarini.New development in Tanzania.
Tutafika tu wanakotaka twende lkn wajue hata wao hawatabaki salama.
wewe ulisjawahi kufanya kazi?au unafikir kila mtu anautumia mwili wake kujingizia kipato kama wwKuwa mkimbizi mnaipigia filimbi kama vile ni wa kwanza duniani.. eeeeeh
Uamuzi wake huo.. alitaka tu kwenda ulaya kuishi huko baada ya kuwa mvivu kufanya kazi kujilisha
huko kote sijui malawi na wapi kunafanana tu na hapa? unawakumbuka wale maraisi wa rwanda na burundi? waliuwawa wakitokea wapi? unamkumbuka kabila huyu anayeua watu kongo? alikuliaa na kusomea wapi? unakumbuka yale mapinduzi ya yule bwana wa burundi / nkurunzinza alipinduliwa akiwa wapi na alirudishwa madarakani na nani? mifano ni mingi. itoshe tu kusema siasa zakiafrika zinafanana kabisa .na hakuna nchi ya kiafrika inayojali haki na ukubwa wa watu wakeKuna Uzi mwingine juu ya hili lakini mimi najiuliza nini kinamsumbua mtu anakwenda ulaya badala ya kuokoa maisha yake kwa kuvuka mpaka na kwenda Kenya, Zambia, Malawi, Uganda na hata akipenda Namibia? Wapo wengi wanaotamani wasifiwe na ulaya. Ni tamaa ya kuishi ulaya kwa pesa ya jamii. Baadaye ataomba na familia iende, halafu sisi tunasema eti yuko hatarini.
Definition ya ukimbizi inaeleweka vizuri au...tunaandika tu ukimbizi.
Still Tanzania is the best place to live ever seen
Dunia nzima binadamu kwa asili yake anataka kuwa huru sio kupangiwa aina ya maisha ya kuishi kwa kulazimishwa na kikundi cha watu wachache kwa kutumia mfumo kudictate mambo yaende,kisha unawadanganya eti maisha waliokuwa wanaishi sio ya kwao. Nakuhakikishia Kaka watu waliozoea kuishi kwa miaka 30 vile wanavyotaka wao huwezi kuwabadili kwa miaka 10 au 20..Kisaikolojia utahitaji zaidi ya miaka 30 tena kwa shida sana kuwabadili,utaplan na wao wanaplan mbinu mpya ivyo ni vita baridi.Kwa.miaka 30 watu waliishi maisha ya kuigiza, 1+1 walisema Ni 3 sasa president anasema lazima iwe mbili(2), hapo sasa. Wengi watalia sana kipindi hiki. Wataongea sana na visingizio kibao lakini ukweli uko palepale.
Sema hali mbaya kwa watu gani hasa!? Snowden kukimbilia Urus je hali haijamaanisha hali mbaya ila maisha yake yako hatarini!! Na Assange kwenda Ecuador hali mbaya kwake! sio kwa marekan! Sada rudi kwenu hapa Tz ni makundi ya watu ndio yako hatarini! WANASIASA! Wahariri, waandishi wa habar! Wanaharakat! Kwahiyo usiringanishe USA na Tz kwa matukio hayo! Utafeli mapema!
Huwezi kukimbia from one shithole country to another shithole country, yaani ukimbie kutoka Tanzania ukajifiche Uganda au Rwanda utakuwa na akili kweli.Kuna Uzi mwingine juu ya hili lakini mimi najiuliza nini kinamsumbua mtu anakwenda ulaya badala ya kuokoa maisha yake kwa kuvuka mpaka na kwenda Kenya, Zambia, Malawi, Uganda na hata akipenda Namibia? Wapo wengi wanaotamani wasifiwe na ulaya. Ni tamaa ya kuishi ulaya kwa pesa ya jamii. Baadaye ataomba na familia iende, halafu sisi tunasema eti yuko hatarini.
Ninaposikia waajili wanalaani ubora wa wasomi wa TZ nimekuwa nikikataa, lakini ukiangalia yanayoandikwa hapa JF na wakati mwingine anayeandika ni mtu ambaye hapo alipo anaaminika kwa ufahamu, ni aibu. Yaani eti Ngurumo akitishiwa TZ anakimbilia Ulaya. Kenya haioni, Zambia, Malawi, Uganda, avuke basi hadi Namibia! Yeye anatamani aende Ulaya! Halafu mtu yuko JF anaona ni point ya kulaani nchi.
Tungependa serikali ilitolee ufafanuzi jambo hili linaipa image mbaya nchi yetu
Wapi pameandikwa ukimbizi? Unakurupuka tuDefinition ya ukimbizi inaeleweka vizuri au...tunaandika tu ukimbizi.
Still Tanzania is the best place to live ever seen
Nyie mnadanganyika kirahisi sana. Viashiria vyote ni kuwa, sinema ya Ansbert Ngurumo ni kama ya yule Abdul Nondo. Nondo atekwe halafu karudi poa kabisa labda na marinda yake ! Huyu mwingine anasema kafuatiliwa halafu kaweza kusafiri kwenda Finland, how?? Mnacheza nyinyi.Serikali hii ya Papa Doc.??? Labda waje Mambosasa & Co. walete tamthilia zao
Nami nimeuliza hili, kama ulijibiwa nisaidie plzHivi kapewa asylum yeye kama yeye ama na familia yake ?