Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

Kama mnaweza mfuateni huko mkamuangamize kama yule mwanafunzi.
Hata Kambona alikimbia nchi lakini baadae akarudi akiwa amechoka ile mbaya!! Wanafikiri ni pa zuri sana kwa wazungu!
 
Kweli nyie vichaa. Nini kinawapa haki ya kuwapiga wengine risasi. Mahakama zinafanya kazi gani?
Ipo siku nyingi Kambona alikimbia baada ya kuanzishwa Azimio la Arusha pia wapemba walikimbia kwenda UK baada ya kuanzisha chokochoko Zanzibar. Hivyo si mara ya kwanza ila kama umezaliwa miaka ya 2000 then huwezi jua!! Watanyooka tu!! Hapa kazi tu!!
 
wewe ulisjawahi kufanya kazi?au unafikir kila mtu anautumia mwili wake kujingizia kipato kama ww

Hayo umeyaandika lazima umeyajulia kwenu.. sasa waulize wao lini wataanza kufanya kazi.. kama na wewe mmoja wao basi katafuteni ushauri sehemu husika mfanye kazi na uache wivu.
 
Huyu ni Mwanahabari ambaye kwa siku za hivi karibuni alikuwa akijihusisha na Uandishi ktk Gazeti la Mwanahalisi. Asema ameamua Kukimbilia nchini Finland ambako amepewa hifadhi ya Kimataifa ili kunusuru uhai wake, kwani kuna watu waliokuwa wanamuwinda mara kwa mara ili kumuua, sasa aliamua kujificha Mwanza, baadaye akakimbilia Kenya, baadaye akaenda Sweden, lkn sasa hivi amepokelewa Finland na kupewa hifadhi.
Source. Muungwana blog.
 
MMMH WATU WASIOJULIKANA NI BALAA...YAANI HADI MTU ANAOMBA HIFADHI NJE YA NCHI MMMH
 
Tukaneni kwanza- mmemaliza? sasa naomba niwaulize Ansbert Ngurumo NI MWANDISHI WA HABARI, CHADEMA , ANU YOTE NI SAWA?
 
Kuwa mkimbizi mnaipigia filimbi kama vile ni wa kwanza duniani.. eeeeeh

Uamuzi wake huo.. alitaka tu kwenda ulaya kuishi huko baada ya kuwa mvivu kufanya kazi kujilisha
Haha..dah...huwa unaongea hewa sana aisee....huwa uko serious au unakuwa unatania muda wote??
 

Unayecheza ni wewe kwani hayajakufika wala hakuna ndugu yako au jamaa yako yamemfika. Hata ukimsikiliza Aman Thani pia alikuwa akifuatiliwa kwa miaka lakini aliipata njia akakimbia . Unafikiri hao polisi na uhamiaji wote ni CCM ?? njaa tu inawatesa ndio wako hapo
 
Huyo lisu ilitakiwa aende kutoa taarifa polisi sio kwenye mitandao na press conference. Wahusika wa lisu wako hukohuko chadema ndo maana wamemkimbiza hadi dereva wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…