Mwandishi maarufu JF aliteswa sana baada ya yale Maswali

Kwanza hii habari ina asilimia kubwa ya kuwa ni uongo kwa sababu ujasiri wa alichokifanya Pascal sio tu waandishi wengi wangeshindwa kufanya, isipokuwa mpaka JPM anaondoka hakuna mwandishi mwingine yeyote angethubutu kuuliza.

Muhimu ni kwamba Pascal ni mkweli siku zote, amekuwa akiuishi ukweli na aliendelea kuusema ukweli kipindi chote JPM akuwa madarakani tena hata ule uliokuwa mchungu ila una maslahi ya taifa.
 
Insinuation ya ulichokisema ..ni kama vile ulimaanisha Paskali katika mantiki kwamba ni mwandishi na anatumia ID yenye jina lake halisi..na alisoma Tambaza kwa maelezo yake....na ndiye aliyeuliza hayo maswali kwa JPM.
Ukiniambia Paskali alipata usumbufu kwa kuuliza hayo maswali..,sinunui maelezo yako kwa vile najua Paskali aliuliza hayo maswali kwa sababu ya kazi yake ya uandishi na kwa kazi YAKE. Na kama alipata miisukosuko ni maigizo ya kazi YAKE.
Hata wewe umeka bandiko lako kwa sababu ya kazi YAKO ambayo inafanana na YAKE ili kazi YAKE inogeshwe.
Wengine wanaangalia na kusoma toka kushoto kwenda kulia,..mimi nasoma kama hivyo hivyo,lakini narudia tena toka kulia kwenda kushoto ili kupata maana halisi.
 
In the name of the president
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…