Mwandishi maarufu JF aliteswa sana baada ya yale Maswali

Mwandishi maarufu JF aliteswa sana baada ya yale Maswali

Kwakuwa jamaa anapenda kuquote nyuzi zake za nyuma ngoja nimtag auweke ule uzi wake siku hiyo kapandisha uzi kwa kukosa usingizi.

Hao walinda legacy uchwara achana nao , japo Mayalla baada ya hili tukio niliacha kumchukulia serious maana alirudi nyuma sana na kuwa chawa kupitiliza .

Cc Pascal Mayalla
Sometime inabidi ufuate rules za African culture ili uishi na uendelee kula. "You can't be talking while you're eating ". Sijui kama kiinglish chake kiko sawa
 
Hii habari imenisikitisha sana

Kuna mwanafamilia mmoja wa Mwandishi huyo alisoma nae Tambaza anasema Mwandishi huyo maarufu humu JF aliteswa sana baada ya yale maswali.

Ilifika mahali alitamani kurudi kijijini na kama sio uhusiano wake na Rais Mkapa mambo yangekuwa mengine

Hii ni kwenye mjadala wa Kitabu maarufu chenye siri za kutosha za utawala wa awamu ya Tano CH

Pole sana mkuu, you have my respect on...

Kuna watanzania huwa wanapitia magumu kimya kimya kiuhalisia ila tunaishia kuwabeza humu ..

Narudia tena, pole sana kiongozi, una heshima yangu ya kutosha .. ikikuoendeza utasema siku ikifika.
P huyo

Ninamheshim sana huyu bwana ni moja Watanzania wenye heshima yangu kitambo
 
Swali lake halikuwa sahihi kama rais hakuwa ameandaliwa. Kama nchi lazima tuwe na mkakati
Kwahiyo mlitaka maigizo kuwahadaa Watanzania?

Huyu kichaa wenu mwendakuzimu angekuwa anajuwa kingereza angehojiwa BBC kwenye Hard talk na Tim Sebastian lazima angerusha ngumi au angetowa bastola yake.

Benjamin Mkapa akiwa Rais aliwekwa kati na Tim Sebastian mashavu yalivimba, anaulizwa vipi kuhusu Zanzibar anafura eti nenda Zanzibar kawaulize wenyewe, shenzi type.
 
Wewe ni mjinga huwezi kuelewa bichwa halina kitu. Yaani watu ka wewe ni hasara kuwa nao Tanzania
 
No, sijaasi Katoliki, mke wa kwanza ni wa kanisa Katoliki, ndie anaishi US na watoto wake, wa pili ni wa kimila yeye anaishi Canada, na wa tatu ni wa kiserikali ndie niko naye Dar, na nimekufa nimeoza,ila kula kula kuko pale pale!。

Nimefuatilia sana Bible kwa makini kabisa, hakuna nabii yeyote aliyekuwa na mke mmoja,hata wanawake waliokuwa wakimhudumia Bwana wetu Yesu Kristo ni watatu,Maria Magdalena,kuna Veronica na Salome!。 Nimesoma sana Bible, nikakuta hakuna popote issue ya mke mmoja, sio mpango wa Mungu,ni uongo wa wazungu kutokana na wao kutokuwa very active,ni damu baridi, uwezo wao ni kula mboga moja tuu hiyo hiyo, sisi Africa ni damu moto,huwezi kushiba mboga moja hiyo hiyo kila siku,lazima ubadili mboga!。 Nilimshauri hata Blaza "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
P
Kwa hyo una watoto wenye asili ya kizungu? Au hao wanawake waliopo US na Canada ni Blacks pia?
Na vipi kuhusu matunzo, bado unatoa matunzo huko US na canada na kuwasiliana nao pia?
 
Kwa hyo una watoto wenye asili ya kizungu? Au hao wanawake waliopo US na Canada ni Blacks pia?
No ,sisi Wasukuma hatuowagi wazungu,hata mimi licha ya kupenda sana kula,sipendi kula vyakula vya kizungu,Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? hata kuku wa kienyeji ni mtamu kuliko kuku wa kizungu!。 Wamama wote ni wabongo, ila sasa ni Canadian na US subjects。
Na vipi kuhusu matunzo, bado unatoa matunzo huko US na canada na kuwasiliana nao pia?
Watoto wa US mkubwa ana watoto 3,mdogo ana watoto wawili。

Wa Canada ,wamemaliza universities,mdogo anafanya masters。

Wa Bongo,ndio nahangaika nao,Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako
P
 
No ,sisi Wasukuma hatuowagi wazungu,hata mimi licha ya kupenda sana kula,sipendi kula vyakula vya kizungu,Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? hata kuku wa kienyeji ni mtamu kuliko kuku wa kizungu!。 Wamama wote ni wabongo, ila sasa ni Canadian na US subjects。

Watoto wa US mkubwa ana watoto 3,mdogo ana watoto wawili。

Wa Canada ,wamemaliza universities,mdogo anafanya masters。

Wa Bongo,ndio nahangaika nao,Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako
P
Sijaona sehemu ulipojibu kama uliteswa kweli baada ya lile swali au ni uzushi
 
Back
Top Bottom