Kwakuwa jamaa anapenda kuquote nyuzi zake za nyuma ngoja nimtag auweke ule uzi wake siku hiyo kapandisha uzi kwa kukosa usingizi.Wafuasi wa Magu wanaweza kumbishia hata muhusika
Alijibu vizuri sana tena sana. Pascal Mayalla hivi mwasali yako haya mliyaamdaa au uliuliza tu ghafla bila
Swali lake halikuwa sahihi kama rais hakuwa ameandaliwa. Kama nchi lazima tuwe na mkakatiPascal Mayala yupo vizuri sana shida yupo kwenye Nchi ngumu akiwa wazi zaidi mambo yanakua todauti sana...Big Up Paskal
Mimi nimezungumzia uwezo wake toka miaka hiyo mpaka leo jamaa yupo vizuri hayo ya kuandaliwa na swali sahihi nadhani uwe nayo wewe mtaalamu...Swali lake halikuwa sahihi kama rais hakuwa ameandaliwa. Kama nchi lazima tuwe na mkakati
Yes Tambaza, Ilboru, JKT, TSJ, RTD 1990-1995Mkuu Pascal Mayalla ulisoma Tambaza?
Mbona hueleweki ulichoongea? Umeanzia uzi katikati au.??!! Habari haina kichwa wala miguu.Hii habari imenisikitisha sana
Kuna mwanafamilia mmoja wa Mwandishi huyo alisoma nae Tambaza anasema Mwandishi huyo maarufu humu JF aliteswa sana baada ya yale maswali.
Ilifika mahali alitamani kurudi kijijini na kama sio uhusiano wake na Rais Mkapa mambo yangekuwa mengine
Hii ni kwenye mjadala wa Kitabu maarufu chenye siri za kutosha za utawala wa awamu ya Tano CH
Pole sana mkuu, you have my respect on...
Kuna watanzania huwa wanapitia magumu kimya kimya kiuhalisia ila tunaishia kuwabeza humu ..
Narudia tena, pole sana kiongozi, una heshima yangu ya kutosha .. ikikuoendeza utasema siku ikifika.
Umeasi dhehebu la katoliki mpaka uwe na wake 3?Yes Tambaza, Ilboru, JKT, TSJ, RTD 1990-1995
DTV 1995-2000
TVT 2000-2005
UDSM LL.B (hons)2005-2009
Ubalozi Uingereza 2010-2014
PPR from 2015 to date!.
Nina wake 3, US, Canada na Bongo.
Nina watoto 9 wa nyumbani! Ni mtu anaependa kula vyakula vizuri Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
P
Nimekusikiliza sana RTD miaka hiyo ya 90 mpaka 95 nami nikiwa shule ulikua kichwa sana aisee kwenye utangazaji wako na kuandaa vipindi pana mwimbo mmoja wa dada mmoja wa USA unaitwa 5 o'clock in the morning... ulikua unaupiga sana saa kumi na moja kabla ya vipindi kuanza mimi bhana sikudai kabisaa big up kwako..Yes Tambaza, Ilboru, JKT, TSJ, RTD 1990-1995
DTV 1995-2000
TVT 2000-2005
UDSM LL.B (hons)2005-2009
Ubalozi Uingereza 2010-2014
PPR from 2015 to date!.
Nina wake 3, US, Canada na Bongo.
Nina watoto 9 wa nyumbani! Ni mtu anaependa kula vyakula vizuri Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
P
Alichoulizwa na alichojibu ni hasi na chanya, hayo maswali hayajibiki lakini, lazima tukiri Pascal Mayalla ni Mwanahabari mahiri na mwenye upeo mkubwa wa akili.
Hakika mkuu. Ndio maana nataka kukubaliana na kilichoandikwa alipigwa vitasa na kupewa maelekezoAlichoulizwa na alichojibu ni hasi na chanya, hayo maswali hayajibiki lakini, lazima tukiri Pascal Mayalla ni Mwanahabari mahiri na mwenye upeo mkubwa wa akili.
Na baada ya hapa Pascal Mayalla hajawahi kuwa yule tena, aligeuka ndumilakuwili wa kung’ata na kupuliza hadi hii leo!
No, sijaasi Katoliki, mke wa kwanza ni wa kanisa Katoliki, ndie anaishi US na watoto wake, wa pili ni wa kimila yeye anaishi Canada, na wa tatu ni wa kiserikali ndie niko naye Dar, na nimekufa nimeoza,ila kula kula kuko pale pale!。Umeasi dhehebu la katoliki mpaka uwe na wake 3?
Magu mtu wachuki na visasi..lazima alimtisha Pasco..na Pasco akaona isiwe tabuAlichoulizwa na alichojibu ni hasi na chanya, hayo maswali hayajibiki lakini, lazima tukiri Pascal Mayalla ni Mwanahabari mahiri na mwenye upeo mkubwa wa akili.
Na baada ya hapa Pascal Mayalla hajawahi kuwa yule tena, aligeuka ndumilakuwili wa kung’ata na kupuliza hadi hii leo!