Mwandishi maarufu JF aliteswa sana baada ya yale Maswali

Sometime inabidi ufuate rules za African culture ili uishi na uendelee kula. "You can't be talking while you're eating ". Sijui kama kiinglish chake kiko sawa
 
P huyo

Ninamheshim sana huyu bwana ni moja Watanzania wenye heshima yangu kitambo
 
Swali lake halikuwa sahihi kama rais hakuwa ameandaliwa. Kama nchi lazima tuwe na mkakati
Kwahiyo mlitaka maigizo kuwahadaa Watanzania?

Huyu kichaa wenu mwendakuzimu angekuwa anajuwa kingereza angehojiwa BBC kwenye Hard talk na Tim Sebastian lazima angerusha ngumi au angetowa bastola yake.

Benjamin Mkapa akiwa Rais aliwekwa kati na Tim Sebastian mashavu yalivimba, anaulizwa vipi kuhusu Zanzibar anafura eti nenda Zanzibar kawaulize wenyewe, shenzi type.
 
Wewe ni mjinga huwezi kuelewa bichwa halina kitu. Yaani watu ka wewe ni hasara kuwa nao Tanzania
 
Kwa hyo una watoto wenye asili ya kizungu? Au hao wanawake waliopo US na Canada ni Blacks pia?
Na vipi kuhusu matunzo, bado unatoa matunzo huko US na canada na kuwasiliana nao pia?
 
Kwa hyo una watoto wenye asili ya kizungu? Au hao wanawake waliopo US na Canada ni Blacks pia?
No ,sisi Wasukuma hatuowagi wazungu,hata mimi licha ya kupenda sana kula,sipendi kula vyakula vya kizungu,Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? hata kuku wa kienyeji ni mtamu kuliko kuku wa kizungu!。 Wamama wote ni wabongo, ila sasa ni Canadian na US subjects。
Na vipi kuhusu matunzo, bado unatoa matunzo huko US na canada na kuwasiliana nao pia?
Watoto wa US mkubwa ana watoto 3,mdogo ana watoto wawili。

Wa Canada ,wamemaliza universities,mdogo anafanya masters。

Wa Bongo,ndio nahangaika nao,Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako
P
 
Sijaona sehemu ulipojibu kama uliteswa kweli baada ya lile swali au ni uzushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…