Mwandishi maarufu JF aliteswa sana baada ya yale Maswali

Alipewa Mateso gani?
Mbona siku hizi anasifia chama Cha watesi?
Niliwahi kuandika humu kumhusu Pascali. Huyu jamaa ni hazina ya taifa. Sema tu watawala hawawapendagi watu wenye akili. Kuhusu kusifia chama tawala, sijui kama ni sahihi. Lakini ukimsoma p vizuri utagundua ni kama p alishakata kamba siku nyingi huko kijanini na sasa ni kama mpinzani asiye uamini upinzani. Yaani haoni kama wapinzani wako serious kutaka kuingia madarakani bali anawaona kama wababaishaji. Hilo hata mimi sikumwelewa lakini sasa yapo wazi. Hongera p.
 
Umesema umesoma sana biblia,hukuona nabii aliyeoa mke mmoja.Haya niambie;nabii Musa alikuwa na wanawake wangapi?Nabii Yeremia alikuwa na wanawake wangapi?Nijibu maswali hayo mawili tu kwa ushahidi wa biblia kabla sijaendelea.Ahsante
 
Umememwelezea vizuri sana
 
Kwahiyo mkuu unajigawaje Nchi tatu tena za Mbali mbali?Si utakuwa unagongewa tu Mjomba?
 
Ila lile swali lilikua gumu sana!
Hata kama ingekua mimi lazima asumbuke!
Kwahiyo alikuwa anafanya mambo ambayo hana majibu yake ikitokea akaulizwa? Mwenye akili timamu yeyote lazima angejiandaa kuulizwa maswali ya hivyo.
 
Kwahiyo alikuwa anafanya mambo ambayo hana majibu yake ikitokea akaulizwa? Mwenye akili timamu yeyote lazima angejiandaa kuulizwa maswali ya hivyo.
Si kwamba lilikuwa gumu kijibu ila ilikua sio rahisi kuulizwa swali la namna ile kwa wa wakati ule halafu kwa ustadi wa namna ile.
 
Hahahha... Safi safiiii...
Nimekuelewa sana Mkuu.🙌🙌
 
Hata hivyo Mungu hakusema uzae ujaze dunia pekee yako
 
Hata hivyo Mungu hakusema uzae ujaze dunia pekee yako
Huwezi kujaza dunia peke yako ndio maana akatuumbia wa kujaza nao dunia!.

Pili hiyo ndio kazi ya kwanza binadamu aliyopewa baada ya kuumbwa, aliambiwa zaeni muongezeke muijaze nchi yote.

Hivyo kazi ya binadamu aliyotumwa na Mungu ni hiyo ya kuijaza dunia!.
P
 
Pascal Mayalla hawezi kujibu hilo swali hata mara moja

Ana kiapo cha kazi yake

Hata baada ya kuitwa na kuhojiwa na Kamati ya maadili ya Bunge, hakuweza kusema popote undani wa mahojiano yale

Mbwa kamwe, hawezi kumzaa Mbuzi
 
😁😁Salome, Magdalena na Vero walikuwa wanampa huduma Gani Yesu?? Mi naamini Hadi masuria wamebarikiwa sana na ndo mana Suleiman alipewa hela na mamlaka na akaongezewa maokoto na Mungu mwenyewe na alikuwa ana wake na masuria juu..Mungu angekuwa hapendi asingemoa Suleiman mambo yote hayo.
Nasadiki kwa kanisa takatifu katoliki la mitume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…