Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Akili za vijana zinatakiwa kufanyiwa rehabilitation juu ya hii michezo 24hrs.Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga.
“Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu”
Nafikiri Majura atakuwa anawalenga, Crown FM, Wasafi FM, Clouds Fm na Efm
Hoja yake ina mashiko lkn hawezi sikilizwa.Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga.
“Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu”
Nafikiri Majura atakuwa anawalenga, Crown FM, Wasafi FM, Clouds Fm na Efm
Sure utazani wanajadili vitu vya maanaKipindi cha miaka ya nyuma, watu walikuwa wanatenga muda kabisa wa kusikiliza redio,.
Imebakia uchambuzi uchwara wa mpira, kusomewa magazeti na uchawa mwingi
Gusa achia twende kwaoNilijua ni mimi tu nnayeboreka na hayo matangazo yampira
Nilikuwa natafuta hii commentPongezi nyingi ziende kwa jiwe 🐕 yule.
Nchi haina viongozi wenye maono. Wanadhani ni wajanja kumbe ndivyo wanavyozidi kudidimiza vijana wa nchi hii. Michezo inatumika kama magc ya kupumbaza watu wasikumbuke mambo mengine.Wale wanafanya biashara siku wakiona Habari za Siasa ndio zina wasikilizaji wengi Radio zitahamia huko.
Kinachoangaliwa ni Wapi pana walaj wengi na sio weledi wa kazi.