Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Baada ya kristo kuja..alieneza amani upendo kwa wote..ndiomana alisema wapendeni wanao wachukia na umpende jirani yako kama unavyojipenda wewe.Kwenye bible zipo violent verses nyingi tena nyingine za upanga kabisa.View attachment 2322764
View attachment 2322765
Ana fatwa huyu na ni wajibu wa kila muislamu kumuua po pote akipatikana. Dini kwenye huu mjadala haikwepeki mkuu. Labda kama ungesema watu wajadili kwa amani na heshima bila kutukaniana dini zao...
View attachment 2322112
Hivi mnavoswali huwa mna lengo gani.Ayajibu au mtu yeyote ajibu, mbona unacomment kitoto sana ? nilitegemea kujibu kwanza uonyeshe utoto uliopo kwenye hayo maswali.
Aliyekuambia mm muislamu nani? Nakubaliana na wewe kuhusu hiyo kitu ya mafundisho ya chuki dhidi ya Ukristo si sahihi. Serikali inatakiwa kuweka jitihada za kuchukua hatua pale inapovuka mipaka.Nyiny mnatatizo sn ,ingia kweny misikit utasikia mawaidha ya kukashif ukristu , madrasa watoto wanafundishwa chuki dhid ya ukristu ( nmesoma madrassa na mafundishp ya rc pia kwa walokole ila waislam nliona mafundisho ya uchochez mengi ) , mnafikia hatua had kweny daladala mnaweka mawaidha ya uchafudhi wa dini za wengine mf temeke _ toangoma , buza _ magenge nimewahi sikia mawaidha yanasema ukristu ni ushetan ila wakristu walitulia kimya wakamwelekeza dereva kwa utulivu bila kushika kisu au panga
Chief iko hivi ,wakristo hawatumii violence ili kutetea imani au kumtetea Mungu wao kwa sababu mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Mungu mwenyewe.Kwenye bible zipo violent verses nyingi tena nyingine za upanga kabisa.View attachment 2322764
View attachment 2322765
Tangu lini wakawa nanuwezo wa kujibu hoja..kama waumini wenyewe tu hawaruhusiwe kuhoji mafundisho yao ndio wataweza kujibu hoja za wengine.Mi nailiza, Rushdie amakashifuje Dini ?
Kama kasema kuna aya za shetani kwanini apingwe kwa vitisho badala yake ajibiwe kwa uthibitisho kuwa hizo aya sio za shetani.
Kumwua Rushdie kunaonesha kasema ukweli ambao umewauma waislamu.
Wakristo kuna vitabu kibao vinakashifu Ukristo. Zipo hadi injire feki za akina Barnaba mbona waandishi wake hawatishwi kuuwawa ?
Ukweli ni kwamba Rushdie kasema ukweli na haiwezekani kumjibu bali kumwua tu.
Hata mkimwua bado kitabu chake kipo na kitaendelea kuwepo.
Jibuni hoja za Rushdie kama kasema uwongo tujue na sio kukimbilia kumwua.
Mtauwa sana kwa hizo jazba zenu
Nipo na jamii ya waislamu ni kweli wana changamoto zao na sisi tuna za kwetu ila si sawa kuwaprovoke. Sheria inatutaka tuheshimiane.km hujui tulia uliza mkuu , wavaa kobaz ni wakolof sn
Umesahau juzi tu hapa mlikua mnalalamikia Tundaman kuingia na msalaba uwanjani mbona yesu yupo nyie mlalamika acheni watu wacheezee misalaba mwenye misalaba yake aje aitete hayo ni maagizo ya Mungu mwenyewe ukikufuru wakuue hakuna mjadalaUkiwambia kua hii dini ina mistari ya kishetani wanakataa, wanasema ni dini ya amani. Amani gani hapo?
Ametukanwa mungu wewe unaumia, kwani wewe umekua Mungu uumie kutukanwa? Si mungu mwenyewe ashughulike na aliemtukana ama hawezi ndio maana inabidi binadamu wamsadie?
Dini nyingine bwana.
Cha msingi huyo mungu aliyekashifiwa na Salman ingebidi ajitetee sasa kujitetea ikawa ngumu mpaka Ayatollah akatangaza dau kwa atakayemuua Salman!!!Mi nauliza, Rushdie amakashifuje Dini ?
Kama kasema kuna aya za shetani kwanini apingwe kwa vitisho badala yake ajibiwe kwa uthibitisho kuwa hizo aya sio za shetani.
Kumwua Rushdie kunaonesha kasema ukweli ambao umewauma waislamu.
Wakristo kuna vitabu kibao vinakashifu Ukristo. Zipo hadi injiri feki za akina Barnaba mbona waandishi wake hawatishwi kuuwawa ?
Ukweli ni kwamba Rushdie kasema ukweli na haiwezekani kumjibu bali kumwua tu.
Hata mkimwua bado kitabu chake kipo na kitaendelea kuwepo.
Jibuni hoja za Rushdie kama kasema uwongo tujue na sio kukimbilia kumwua.
Mtauwa sana kwa hizo jazba zenu
Haujajibu swali hata mmoja..Hivi mnavoswali huwa mna lengo gani.
Upendeleo ni upi Mana wale manabii unaowaskia cheo chao kikubwa Ni watumishi wapo kutumikia watu ... Sasa tuoneshe upendeleo .
Swali la Kwanza Ni Moja ya swali la kipuuzi kuliona . Mana Hy mtoto wa la nne aliesoma Biblia anajibu kwann ilikuwa vile.
Then Mungu na muabudu anajibu Kama ulivyoona kwenye Hy unayoita miujiza.
Sasa mkuu, wagalatia si walishapita huko middle East mi si mkurya kabisa asee.Enyi wagalatia msio na akili ni nani............
Sio maneno yangu ni ya masia wenu,
Tusi gani la kidini au una maana kupinga maandishi yaliyomo kwenye Kitabu cha Imani ya Dini hiyo km Quran/Bible? Iwapo ni hivyo, wajibu wana imani ni kuweka mambo sawa ili waumini watarajiwa wawe na imani katika dini husikaMimi sio mtu wa dini sana lakini ukiitukana dini yangu lazima nipanic.
Au wewe utakubali nikutukanie dini yako na mungu wako mkuu.
Umehamia kwenye sayansi ambayo inategemea tatiti zinazohitaji maboresho ( lack of character ) Kila leo😂😂.Haujajibu swali hata mmoja..
Nithibitishie visa vya bible uhakika wake umetoa wapi kama sio imani tu ?
Kisanyansi visa hayo maajabu yote yanakataa na mtu kama Scars hawezi kukubali stori yeyote ya miujiza ya watu au Manabii katika bible vipi unawezaje kuthibitisha kama ni kweli ?
Kuna kitu gani kisicho hojiwa kwenye Ukristo.Tangu lini wakawa nanuwezo wa kujibu hoja..kama waumini wenyewe tu hawaruhusiwe kuhoji mafundisho yao ndio wataweza kujibu hoja za wengine.
Dini inavyofunga midomo watu waiihoji wala kuichambua ni dini dhaifu sana...na ina mapungufu mengi.
#MaendeleoHayanaChama
Kuepusha uprising ya fujo kumbuka wakati huo pia kulikuwa na Skendo ya Kuvunjwa mabucha ya Nguruwe pale Kigogo Sambusa iliyopelekea maafa na fujo mpaka askari kuingia na mabuti misikitini kukamata waandamanaji Maeneo kadhaa katika mji wa Dar es salaam. So Serikali iliona iwapo kutakutwa mtu na wenye Dini yao ana hiki kitabu machafuko makubwa yangetokeaKwa nini?
Umeshindwa kujibu maswali ya kwanza .Umehamia kwenye sayansi ambayo inategemea tatiti zinazohitaji maboresho ( lack of character ) Kila leo😂😂.
Bible ilichoandika Leo na hate milele kitabaki kuwa vile vile..
Na imani ni wajibu ... Timiza wako Mungu atimize ahadi zake kwako .....kibaya Zaid Quantum physics hayo ma law of attraction ni Imani Hy hy
Google me @ PDF Drive - Search and download PDF files for free.Mwenye soft copy ya kitabu hicho atupie humu tukisome tuone kama ubaya wowote, isije kuwa chuki binafsi.
Read the whole storyUmeshindwa kujibu maswali ya kwanza .
Hizi vita wakati wanaIsreil wapapigana kwa nini Mungu asijitetea mwenyewe mpaka akaacha mpaka watu wauwawe na sanduku kuchukuliwa ?View attachment 2322778