Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

[emoji23][emoji23][emoji23] shikamoon waanzisha dini sijui kama mlitegemea kama dini zenu zingehangaisha watu hivi
 
Sina Muda huo wa Kufanya uchambuzi Kwa sababu Kuna watu walishafanya My Next Thirty Years na Hakuna majibu yoyote mliyoyatoa kwenye Huo uzi
 
Sina Muda huo wa Kufanya uchambuzi Kwa sababu Kuna watu walishafanya My Next Thirty Years na Hakuna majibu yoyote mliyoyatoa kwenye Huo uzi
Ngoja nitafute huo uzi niupitie.

Halafu mabishano ya kidini watu walisema wahoji na wachunguze kila kitu katika hizi dini hakuna dini itayosalimika lazima kumbuka hadi atheist Wana hoja zao kuhusu Yesu wanaona alikuwa muhalifu wengine wakisema ni mtu wa mchongo nyuzi zipo humu hakuna mkiristo alijibu hoja hata moja zaidi ya kupanic na wengine kutoa vitisho .

Mfano Atheist mmoja alileta uzi huu hakuna majibu

Mwengine atheist maarufu humu Scars alimuhusisha Yesu na tuhuma za wizi wa mbao
 
Chukua bia hapo kwa mangi, ushalipiwa.
 
Kwanini unachukia waislamu?
 
Well bila shaka hakuna sehemu nimesema nitaua mtu, lakini lazima nitataka kujua kwanini.
Au kuna kifungu cha sheria kinachoruhusu mtu kukashifu imani ya mwingine?
Ukifanya kitu chochote tegemea consequences na wala sijali kuhusu kilichomtokea huyo jamaa sababu hakina faida au hasara kwangu ila ninachojali ni yeye kutoa kashfa kwa imani za watu.

Na kwa mujibu wa statement yako mimi sina kosa lolote hapa bali ni completely appropriate reaction regarding the occurring situation.
Nalitambua hilo.
 
Jamaa ata wakiambiwa Muhammad kaoa mtoto wanataka kuua mtu aliesema wakati maandiko yao yapo wazi muhammad kaoa mtoto Aisha wa miaka 6

Yani unawaambia waliyo andika wanakasirika kwa kuwambia
The root of lie is very short.
Isn't?
 
Sijali nini kimemtokea huyo jamaa sababu kila mtu atakula alichokitafuta.
Ila ninachojali ni kwanini yeye athubutu kukashifu imani za watu.

Hautatui tatizo kwa kulifunika na tatizo lingine.
 
hahahaaaa mvaa kobaz grade1 povu limetoshaaa aseeee
Mimi sio mtu wa dini sana lakini ukiniattack personally kama upo karibu basi jihesabie meno matatu ya mbele hayapo.

Cha ajabu ni huyo mjinga amenianza mimi lakini mimi nikimaliza mnalia, wtf is this?
Na hichi ndicho ninachokipigia kelele, hypocrisy na obsolete generalization.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuwa na hizo tabia na asizione.
 
Hata mababu zetu walipigwa mijeredi ama kuuawa na waarabu kisa hawakumkubali Allah
Sema babu yako, sio babu zetu.

Hiyo dini yenu ya kulazimishana kwa upanga ili kuiamini ni ya kutilia mashaka, nawaagiza Waislamu wote hilo nalo mkalitizame[emoji380][emoji380][emoji848][emoji848]
 
Sema babu yako, sio babu zetu.

Hiyo dini yenu ya kulazimishana kwa upanga ili kuiamini ni ya kutilia mashaka, nawaagiza Waislamu wote hilo nalo mkalitizame[emoji380][emoji380][emoji848][emoji848]
Kwani babu yako alizaliwa miaka ya 80 hadi asijumuishwe ktk lile kundi la wahanga waliosumbuliwa na waarabu?

Wazee wetu waliosumbuliwa sana kama babu yako hakusumbuliwa basi alizaliwa baada ya uhuru
 
"Wakolof "ndio nini akili unazo kweli kiswahili tu shida kuandika je article ya kingereza utaweza kusoma kweli ?

Sahihi kuweka 'r' isomeke wakorofi
punguza munkar mkuu kutokujuw kiswahili haibadili ukwel , jibu kwa hoja zeny utimamu sio kuikimbia mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…