Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

[emoji23][emoji23][emoji23] shikamoon waanzisha dini sijui kama mlitegemea kama dini zenu zingehangaisha watu hivi
 
Huyo mwana Mama atapewa sifa kwa kupika chai yake vizuri tu.

Kuna mdau humu anajiita Dumas the terrible alidai kwamba siku ya kujua jinsi Uislamu ulivyobuniwa na kanisa na yaliyokuwa nyuma ya pazia nitapigwa kitu kizito sana ,nikaampa kazi kama anajiamini aanzishe mjadala huru aweke evidence na uchambuzi wa hiko kitabu na mengineyo moja baada ya moja ili afichue ukweli na Waislamu tujue kwa sharti la kutoa ushirikiano wa maswali na hoja atakazo ulikuzwa lakini hakuweza mpk leo hakufanya hiyo Kazi.

Na wewe nakupa kazi hiyo Weka uzi unaohusu uchambuzi wa hoja za hicho kitabu tupate maarifa.
Sina Muda huo wa Kufanya uchambuzi Kwa sababu Kuna watu walishafanya My Next Thirty Years na Hakuna majibu yoyote mliyoyatoa kwenye Huo uzi
 
Sina Muda huo wa Kufanya uchambuzi Kwa sababu Kuna watu walishafanya My Next Thirty Years na Hakuna majibu yoyote mliyoyatoa kwenye Huo uzi
Ngoja nitafute huo uzi niupitie.

Halafu mabishano ya kidini watu walisema wahoji na wachunguze kila kitu katika hizi dini hakuna dini itayosalimika lazima kumbuka hadi atheist Wana hoja zao kuhusu Yesu wanaona alikuwa muhalifu wengine wakisema ni mtu wa mchongo nyuzi zipo humu hakuna mkiristo alijibu hoja hata moja zaidi ya kupanic na wengine kutoa vitisho .

Mfano Atheist mmoja alileta uzi huu hakuna majibu
IMG_20220630_175252.jpg


Mwengine atheist maarufu humu Scars alimuhusisha Yesu na tuhuma za wizi wa mbao
IMG_20220630_175143.jpg
 
Unavyo jibu unaonekana kabisa bi muislamu safi

Ila kusema kweli Alie andika Koran ni mjinga Sana , Yani ukisoma Haina mtiriko ni kaweka verse kwa kuokoteza verse na verse haviendani Yani yeye kila kikimjia kitu kichwani anakichomeka ,akiulizwa swali anajibu kwa kuchomeka Aya , alionekana kaiba chupi akachomeka aya inasema hajaiba Yani full ujinga
Chukua bia hapo kwa mangi, ushalipiwa.
 
Ukiambiwa mama malaya na kweli ni malaya ndio upaniki...huo utakua ni upungufu wa akili..hii dini ni dini ya waliokosa akili..wengi wamejazwa ujinga na upuuzi.

Ndio ambayo sio salama kwa dunia hii ya sasa..inapaswa iangaliwe kwa umakini mkubwa sana..kila ilipo hii dini hakuna amani...kama ipo basi kinafiki.

#MaendeleoHayanaChama
Kwanini unachukia waislamu?
 
Ukipanic hakuna tatizo, ila ukianza kushambulia na kuua watu ndipo kunakuwa tatizo. Watu wengi tu wakiona mtu anakula kitimoto, mbwa au bia wanapanic ila wanaendelea na maisha yao kwa amani.

Wahindu wengi wakiona unakula nyama ya ng'ombe wanapanic ila wanaendelea na maisha yao bila kuleta shida au vurugu.
Well bila shaka hakuna sehemu nimesema nitaua mtu, lakini lazima nitataka kujua kwanini.
Au kuna kifungu cha sheria kinachoruhusu mtu kukashifu imani ya mwingine?
Ukifanya kitu chochote tegemea consequences na wala sijali kuhusu kilichomtokea huyo jamaa sababu hakina faida au hasara kwangu ila ninachojali ni yeye kutoa kashfa kwa imani za watu.

Na kwa mujibu wa statement yako mimi sina kosa lolote hapa bali ni completely appropriate reaction regarding the occurring situation.
Nalitambua hilo.
 
Jamaa ata wakiambiwa Muhammad kaoa mtoto wanataka kuua mtu aliesema wakati maandiko yao yapo wazi muhammad kaoa mtoto Aisha wa miaka 6

Yani unawaambia waliyo andika wanakasirika kwa kuwambia
The root of lie is very short.
Isn't?
 
Humu duniani Kuna watu wa aina nyingi na hilo litakuwepo daima!
Sasa ikitokea mtu ambaye hajastaarabika akakutukania mama Yako au dini Yako,ndio ukamuue?
Ukishakiwa Hela akili ikakurudi ndio utajua hujui!
Kama dini Yako imedhalilishwa au umetukanwa,Kuna vyombo vya haki unaweza kwenda kushtaki na haki ikapatikana!Haya mambo ya kujichukulia sheria mkononi ni hatari sana Kwa ustawi wa jamii!
Siungi mkono dini kukashifiwa,ila pia siungi mkono watu kujichukulia sheria mkononi Kwa kigezo Cha kuipigania dini!
Sijali nini kimemtokea huyo jamaa sababu kila mtu atakula alichokitafuta.
Ila ninachojali ni kwanini yeye athubutu kukashifu imani za watu.

Hautatui tatizo kwa kulifunika na tatizo lingine.
 
hahahaaaa mvaa kobaz grade1 povu limetoshaaa aseeee
Mimi sio mtu wa dini sana lakini ukiniattack personally kama upo karibu basi jihesabie meno matatu ya mbele hayapo.

Cha ajabu ni huyo mjinga amenianza mimi lakini mimi nikimaliza mnalia, wtf is this?
Na hichi ndicho ninachokipigia kelele, hypocrisy na obsolete generalization.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuwa na hizo tabia na asizione.
 
Sema babu yako, sio babu zetu.

Hiyo dini yenu ya kulazimishana kwa upanga ili kuiamini ni ya kutilia mashaka, nawaagiza Waislamu wote hilo nalo mkalitizame[emoji380][emoji380][emoji848][emoji848]
Kwani babu yako alizaliwa miaka ya 80 hadi asijumuishwe ktk lile kundi la wahanga waliosumbuliwa na waarabu?

Wazee wetu waliosumbuliwa sana kama babu yako hakusumbuliwa basi alizaliwa baada ya uhuru
 
"Wakolof "ndio nini akili unazo kweli kiswahili tu shida kuandika je article ya kingereza utaweza kusoma kweli ?

Sahihi kuweka 'r' isomeke wakorofi
punguza munkar mkuu kutokujuw kiswahili haibadili ukwel , jibu kwa hoja zeny utimamu sio kuikimbia mada
 
Back
Top Bottom